Jumapili, 8 Juni 2014

UJUE UGONJWA WA BAWASIRI (HEMORROHOIDS)


Bawasiri ni mojawapo ya matatizo ambayo mara nyingi inapotokea humfanya muathirika kuwa na aibu kuelezea au kwenda hospitali ili kupata tiba.Bawasiri husababishwa na kuvimba kwa mishipa ya damu aina ya vena katika eneo la mfereji wa haja kubwa.Ugonjwa huu huwapata saana wanaoendesha magari kwasababu hukaa kwa muda mrefu,wengi wao huwa hawautambui ugonjwa huu na hatimaye husema ni kinyama kimetokea sehem za siri lkn wengine huona aibua kwenda kwa madactari kutoa taarifa.Hapa huwa kama kinyama ambacho hutokea wakati mtu anaenda kujisadia haja kubwa.ingine kinyama huwa kinarudi na ingine huwa kinashindwa kurudi chenyewe.

KUNA AINA MBILI ZA BAWASIRI(HEMORRHOIDS)
1.Ya nje ya puru- Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa na mara nyingi huambatana na maumivu na muwasho katika sehemu hiyo.Mara nyingi mishipa hiyo ya damu(vena)hupasuka na damu huganda na kusababisha hali iitwayo THROMBOSED HEMORRHOIDS kitaalamu.

2.Ndani ya puru/tupu/duburi-Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa na haiambatani na maumivu hivyo kuwafanya wengi kutotambua kuwa wana tatizo hili.

KINASABABISHA BAWASIRI ?
Miongoni mwa visababishi vya bawasir ni;
1.Tatizo sugu la kuharisha
2.Kupata haja kubwa(kinyesi)kigumu
3.Ujauzito
4.Uzito kupita kiasi(OBERSITY)
5.Ngono ya njia ya haja kubwa(ANAL SEX)
6.Umri mkubwa na mambo yanayoongeza shinikizo katika tumbo.
7.Kukaa sehem moja kwa muda mrefu
DALILI ZA BAWASIR
1.Kinyesi kuchanganyika na damu wakati wa kujisaidia CHEMATOZECHEZIA
2.Maumivu au usumbufu katika njia ya haja kubwa
3.Kutokwa na kinyesi bila kujitambua(kuvuja kinyesi)
4.Kijiuvimbe katika eneo la tundu(mlango)wa kutolea haja kubwa.
5.Ngozi katika eneo la tundu la haja kubwa kuwasha.
6.Bawasir kutoka wakati wa kujisaidia haja kubwa.
ATHARI ZA BAWASIR
1.Upungufu wa damu mwilini(ANEMIA)
2.STRAGULATED HEMORRHOID
3.Kinyesi kutoka na kuvuja bila kujitambua na kusababisha kunuka kinyesi saa zote.
4.Kukupunguzia morali ya kufanya kazi kutokana na maumivu hasa watu wanaokaa muda mrefu maofisini.
5.Kuathirika kisaikolojia
6.Kukosa hamu ya tendo la ndoa.
7.Kupungukiwa nguvu za kiume
JINSI YA KUZUIA BAWASIR
1.Kula mboga za majani na matunda na nafaka zisizokobolewa kwa wingi,kwenye matunda hakikisha unakula na fibres yani kama chungwa kula hadi zile nyama za ndani.
2.Kunywa maji mengi lita sita hadi kumi na mbili kwa siku
3.Punguza kukaa kwa muda mrefu sana ukiwa chooni(unaweza kuongeza shinikizo katika mfereji wa haja kubwa)
Bawasiri sasa imepata suluhisho na inapona.Kwa ushauri wowote wa afya au swali au tatizo lolote la kiafya waweza tumia +255762285404 au 0713354389.
 NJIA ZA KUPATA MTOTO WA KIUME AU WA KIKE
Watu wengi wamekuwa wakiwabebesha mzigo wanawake juu ya kupata mtoto wa kike au wa kiume na wengine kufikia kuwaacha wake zao eti kwaajili anazaa jinsia moja wakifikiri kuwa swala la kuzaa aina fulani ya mtoto ni lamwanamke peke yake wakati sio kweli mwanaume pia anachangia,sasa leo ningependa tujifunze jinsi ya kuchagua jinsia japo kuwa tunaamini kuwa Mungu pia anachangia ktk hili lkn kama tukifuata utaratibu pia inaweza kutusaidia sana.Mwanaume anamwaga shahawa au spamu kati ya milion 200 hadi 400,ambapo ndani yake kuna chromozomu X na Y.Kila yai la mwanamke lina chromozomu mbili za X. wakati manii ya mwanamume au spemu (yana chromozomu X na Y) kama chromozomu X ya mwanaume itarutubisha yai la mwanamke lenye X tupu, basi mtoto atakayezaliwa atakuwa mwanamke.na endapo chromozomu Y ya mwanaume itarutubisha yai X la mwanamke atazaliwa mtoto wa kiume.Kwa kuwa chromozomu X ya mwanaume inaishi muda mrefu kuliko Y ukitaka kuzaa mtoto wa kike basi ujamiiane siku 2 au 3 kabla ya ovulation(hii itakuwa kama siku ya 4 au 5 kabla kuingia hedhi),lkn pia inashauriwa wanandoa wanapojamiiana basi mwanamke awe chini mwanaume juu kurahisisha spamu X kutunga mimba kwa urahisi,lakin pia njia ya kupata mtoto wa kiume ni kujamiiana masaa 12 baada ya ovulation.
Lakini sasa hivi kumekuwa na tatizo kubwa la watu kukosa kushika mimba wengine tangu alipoza zaa mtoto mmoja ndo basi na wengine hajapata kabisa hali hii imekuwa ikiongezeka kila siku kutokana na maisha tunayoishi,mazingira yetu na baadhi ya magonjwa ya uzazi,japo kuwa inawezekana kabisa tatizo hilo kuondoka na mtu akapata mtoto hata kama alikuwa amekata tamaa.
Kwa ushauri na suluhisho kuhusu tatizo lolote la kiafya tumia 0713354389 AU +255762285404

TATIZO LA KUKOSA CHOO NA MADHARA YAKE

Mtu yeyote anayepata walu mlo mmoja kwa siku na kupitisha kati ya siku moja au tatu bila kupata choo, anatatizo la kukosa choo (Constipation), pia kupata choo kigumu na maumivu makali ama kufikia kutoa choo kama mbuzi wakati mwingine kikiwa na matone ya damu ni dalili za tatizo hili la kukosa choo."Tafiti zinaonesha kuwa mtu anaweza kupoteza maisha iwapo atakosa choo siku tano mpaka saba mfululizo"
Sababu za kukosa choo ziko nyingi ikiwa ni pamoja na:-
•Kukosa mlo kamili ama kula vyakula viingi vyenye kiwango kikubwa cha wanga na mafuta,
•Kula vyakula vilivyokobolewa na vilivyo changanywa na madawa ili visiharibike,
•mifumo hatarishi ya maisha (Dangeraous Lifestyles) kama vile matumizi ya pombe na sigara kwa wingi,
•Ukosefu wa kiwango cha kutosha cha mbogamboga na matunda katika milo yetu,
•Maji yasiyo salama,
•Kuvuta hewa chafu,n.k

Hizi ni baadhi tu, na hadhari zake zaweza kuwa:- 
•Chakula kutomeng'enywa vizuri (poor function of digestion system)
•Maumivi makali wakati wa kupata choo,
•Uchafu uliokaa muda mrefu kugeuka sumu,
•Bakteria wenye madhara kuzaliwa na kuathiri utumbo mpana na viungo vingine mwilini.
Hii yaweza sababisha magonjwa sugu kama: •Saratani ya utumbo mpana (Colon Cancer)
•Presha (Arteriosclerisis)
•Kuongezeka uzito (Obesity)
•Tumbo kujaa gesi
•Magonjwa ya Ini
•Figo kushindwa kufanya kazi vizuri,
•Magonjwa ya ngozi,
•Kukakamaa kwa mishipa ya damu,
•Kisukari,
•Magonjwa ya moyo n.k

WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA +255762285404 AU 0713354389 KWA SULUHISHO NA USHAURI JUU YA TATIZO HILI.

Jumatatu, 2 Juni 2014

NINI MAANA YA MAJIPU, DALILI ZAKE NA AINA YA MAJIPU PIA.

Majipu mara nyingi husababishwa na maambukizi ya bakteria, kawaida staph (Staphylococcus aureus). Hadi asilimia 80 ya watu kuwa na bakteria staph juu ya ngozi zao au katika pua wakati fulani katika maisha yao. Wengi wa wakati hakuna dalili ya majipu. Hii inaitwa ukoloni. Kuhusu 1 asilimia ya watu kuwa na aina maalum ya staph aureus aitwaye methicillin sugu staph (au MRSA kwa muda mfupi), ambayo ni sugu kwa baadhi ya antibiotics matibabu majipu na inaweza kuwa vigumu kutibu.

Aina ya majipu

Kuhusu aina mbalimbali ya majipu mtu anaweza kutofautisha zifuatazo ndio:
  • Furuncle au baharamani Aina hii ya majipu ni jipu ngozi kwamba alionekana kutokana na Staphylococcus aureus bakteria. Fursa ya furuncle juu ya ngozi inaweza kuwa na uhusiano na baridi. Zumaridi mara kwa mara ni seti ya follicles nywele ambayo fomu ni absess. Wakati mtu majipu sugu, yeye anaugua carbunculosis au furunculosis.
  • Acne cystic: Aina hii ya majipu hutokea baada ya clogging na maambukizi ya ducts mafuta. Acne cystic ina athari katika ngozi kushangaza tishu zaidi kwa kulinganisha na mara kwa mara acne , ambayo huathiri ngozi ya juu juu ngazi zaidi. Aina hii ya acne hutokea kwenye uso. Ujumla vijana wanakabiliwa na yake.
  • Hidradenitis suppurativa: Wakati abscesses wengi wamekusanyika katika maeneo ya kinena, na chini ya armpits, hii inaitwa Hidradenitis suppurativa. Hali hii ni maendeleo katika maeneo ambapo tezi jasho ziko. Wao ni na inflamed na kusababisha hali hii. Safu ya matibabu pamoja na si antibiotics tu, bali pia utaratibu wa upasuaji, ambao unaweka mbali ya jasho tezi wanaohusika na kuzuia kuvimba zaidi.
  • cyst Pilonidal: aina hii ya majipu iko katika Groove kati ya makalio. Pilonidal jipu mara nyingi huanza kama maeneo ya kuambukizwa ndogo ambayo ni alikasirishwa na shinikizo kupindukia na ni inflamed sababu ya hiyo. Basi eneo anapata kubwa na anarudi katika nodule imara, kuuma kwamba si vizuri kukaa. Wakati na kukaa kwa muda mrefu wakati wa safari baadhi, kwa mfano, nafasi hii na shinikizo tokoni ya sababu ya kuambukizwa.

Dalili za majipu

Dalili za majipu ni rahisi, ni kuchemsha kama utawala hutokea kwa ghafla kama bonge la rangi nyekundu ambayo husababisha maumivu katika 1-2 cm kufikia kipenyo. Ngozi karibu yake pia inaweza nyekundu au kuvimba. 

pus Kisha ni kusanyiko katika mapema ya. Polepole humkunjulia na inaweza kufikia ukubwa wa mpira wa gofu. Hukua kubwa na anapata chungu zaidi, wakati mwingine kufikia golf ball kawaida. Basi inakuwa ya rangi ya njano-nyeupe, ambayo bursts mwisho na machafu. Kawaida inachukua wiki mbili kwa ajili ya jipu kutoweka au hadi mwezi mmoja katika kesi nadra. Wakati majipu ni kidogo, hawana kuondoka makovu juu ya ngozi. Lakini kubwa majipu wanaweza kuondoka nao. 

Eneo la majipu wanaweza kuwa katika sehemu yoyote ya mwili, lakini eneo zaidi ya mara kwa mara ni juu ya uso, kwapani, shingoni matako, na mapaja - maeneo na follicles nywele ambayo wanakabiliwa na jasho au kutokana na msuguano. 

Majipu kuangalia kama matuta ambayo ni inflamed na kuleta maumivu . Majipu ni zilionyesha na acne cystic. Kama sisi kulinganisha na cysts Acne, majipu ni redder, kuvimba ni kubwa na huleta maumivu zaidi. 

zumaridi A mara kwa mara inaonekana juu ya mabega mapaja, na nyuma ya shingo kama kundi la majipu. Unaathiri ngozi kuwaambukiza zaidi juu ya kiwango cha kushangaza zaidi kuliko majipu tofauti kufanya. Ya mienendo ya maendeleo ya carbuncles ni polepole, ni vigumu kuponya na kuacha kovu juu ya ngozi. Saa carbuncles mara ni kushikamana na hali ya uchovu na homa. 


Maeneo ambayo majipu kiujumla kuonekana ni usoni, shingoni, kwapani, matakoni, sehemu za siri na mapajani. 

WASILIANA NASI KWA +255762285404 AU +255713354389 KWA MAELEZO ZAIDI NA TIBA.

Jumatatu, 7 Aprili 2014

Njia 5 za kupunguza tumbo kirahisi

WADADA au WAMAWAKE wengi wanatamani kuwa na matumbo madogo, lakini wengi hushindwa kufikia ndoto hiyo kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo za uzazi na kupenda chakula. Makala hii inaangalia njia rahisi ya kupunguza tumbo. 

1. Uangalifu katika kula 
Epuka chakula chenye wanga, mafuta mengi na sukari. Badala yake unaweza kula matunda na mboga za majani. Vile vile samaki wa baharini si wabaya kwani hawana mafuta mengi. 

2. Namna ya kula 
Usiache kula kwani jambo hilo litakunyima nguvu, unatakiwa kula milo mitatu mpaka minne lakini kwa kiasi kidogo. Unatakiwa kukaa zaidi ya saa tatu kabla ya kula mlo mwingine. 

3. Mazoezi ya kawaida
Si lazima ufanye mazoezi makali kwa ajili ya kupunguza tumbo. Unaweza kufanya zoezi la kutembea badala ya kupanda basi, kama hufiki mbali sana. Kama unaweza kuogelea, unaweza kufanya hivyo mara kwa mara, hiyo pia itakusaidia. 

4. Zoezi maalum 
Kama unaweza kufanya zoezi la kulala chali na kukaa, 'abs exercise' unaweza kufanya kwa dakika chache kila siku. Hiyo itasaidia kukomaza misuli ya tumbo hivyo tumbo kutokulegea. 

5. Kunywa maji 
Maji yanasaidia mmeng'enyo wa chakula, hilo husaidia mtu kuwa na afya njema. Kwa kuwa mtu akiwa katika hatua za awali za kupunguza tumbo husikia njaa mara kwa mara, ni bora anywe maji badala ya kula.


WASILIANA NASI KWA +255762285404 AU +255713354389 KWA MAELEZO ZAIDI.

Osteoporosis:Mifupa milaini, myepesi na kusagika


Tatizo hili hujulikana kwa jina la kitaalamu kama Osteoporosis. Ugonjwa huu unatokana na kupunguka kwa protini na madini kwenye mifupa (madini chokaa/calcium). Hali hii hupelekea mifupa kuwa milaini na myepesi ambapo inaweza kuvunjika kirahisi. Kipindi cha utoto hadi kufikia umri wa miaka 30, ni kipindi ambacho mifupa hujijenga zaidi. Baada ya hapo mifupa huwa ina kawaida ya kupoteza madini zaidi.
Tatizo hili linatokea sana kwa watu wazima, hasa zaidi kwaa wanawake ambao wamefikia kipindi cha kukoma hedhi (menopause), kuanzia miaka 50. Ni kipindi ambacho wanawake hupungukiwa na homoni yenye kazi ya kuilinda na kuikinga mifupa. Tatizo hili huwapata wanawake zaidi kwa kuwa wana mifupa midogo na myembamba kuliko wanaume. Miaka mitano (5) hadi aba (7) tangu mwanamke kukoma hedhi hupungukiwa na madini chokaa kwa asilimia ishirini (20%), zaidi ya wanaume. Kuanzia miaka 65 hadi 70 wanawake na wanaume hupoteza madini chokaa kwaasilimia sambamba.
Nini cha kufanya
  1. Mazoezi hasa kipindi ambacho umriu mepiga hatua
  2. Kwa wale wenye uzito uliozidi, jitahidini kufanya utaratibu wa kupunguza
  3. Jitahidi kupata madini chokaa (calcium) kwa wingi (maziwa freshi, maziwa mgando, mboga za majani)
  4. Jitahidi kupata Vitamini D (mayai, maziwa, samaki, mboga za majani, pata jua)



   Virutubishi
Kwa ambao tatizo limekuwa kubwa, inawapasa kujitahidi kupata virutubishi ili kuirejeshea mifupa nguvu na uimara, pia kuondokana na maumivu.
Virutubishi vifuatavyo vimewasaidia wengi wenye tatizo hili.

WASILIANA NASI KWA +255762285404 AU +255713354389 KWA MAELEZO ZAIDI.




Aina ya ugonjwa na Suluhishi

SOMA KWA UMAKINI MKUBWA HAPA....

Ni vema tukafahamu ugonjwa unaosumbua mwanadamu, na vilevile tukatambua aina ya vyakula ambavyo tukila vitatusaidia kuondokana na tatizo.
Mwili wa mwanadamu ulivyoumbwa: Mwili wa mwanadamu umeumbwa ukiwa mkamilifua, usiokuwa na tatizo lolote. Siku mtu anapozaliwa, wengi wetu tunazaliwa tukiwa hatuna tatizo lolote.
Kawaida mwili wa mwanadamu umeumbwa  ukiwa mkamilifu kwa maana ya kwamba unatakiwa kujimudu wenyewe, pia kuwa na uwezo wa kujirejeshea afya ya mwili wake mwenyewe na kuweza kuishi maisha yasiyo na magonjwa.
Mwanadamu ameumbwa na anazaliwa na seli muhimu ndani ya mwili ambapo zina kazi kubwa ya kuhakikisha mwili upo sawa siku zote.
Seli hizi muhimu zinajulikana kwa jina la kitaalamu kama "adult stem cells"
Kadri tunavyokua hasa kuanzia miaka zaidi ya 25, uwezo wa mwili wa mwanadamu kuzalisha hizi seli hupungua. Hii husababishwa na stress (kimwili, kihisia, kimazingira) na lishe duni (vyakula na vinywaji vingi vimewekwa madawa kutoka mashambani hata viwandani). 

Utumiaji wa dawa za magonjwa kwa muda mrefu, utumiaji wa sigara na vinywaji vikali huchangia kwa kiasi kikubwa kuharibu na kuua hizi seli.
Umwagaji wa damu kwa njia ya ajali au aina yeyote ile husababisha upotevu wa seli mwilini.
Seli hizi hutambulika kama "masta seli”ndani ya mwili wa mwanadamu ambazo baadae hubadilika jina kutokana na sehemu ambapo zimesafiri na kuweka makao. Kwa mfano zikifika kwenye ini zinaitwa “Liver cells”, kwenye ubongo zinaitwa “Brain Cells, kwenye macho zinaitwa “Eye cells… n.k 
Bone Marrow:Seli hizi zinazalishwa na kiungo kijulikanacho kama bone marrow
Seli hizi kipingua kwenye kiungo cha ndani ya mwili husababisha kiungo hicho kutofanya kazi vizuri na kisha kiungo kupata tatizo. Mfano seli za kwenye kongosho zikifa au kupungua husababisha kongosho kutofanya kazi vizuri na hapo tatizo la sukari kwenye damu hutokea.
Kwa hiyo tukipata elimu ya vyakula itatusaidia kuwa makini na ulaji wetu ili tuishi mbali na magonjwa.