KITENDO cha kukosa usingizi mara kwa mara wakati wa kulala kuna weza kuonekana ni jambo ambalo halina madhara kiafya, lakini ukweli ni kwamba unapokosa usingizi, hasa kwa muda mrefu, kuna athari kubwa katika afya yako yote, hata kama unakula na kufanya mazoezi vizuri.
Madhara ya ukosefu usingizi huathiri mfumo mzima wa mwili, mathalan, mbali ya kuathiri kinga ya mwili na kuongeza hatari ya kupatwa na magonjwa ya saratani, ukosefu wa usingizi huweza kusababisha madhara mengine yafutayo:
HATARI YA KUPATWA NA UGONJWA WA MOYO
Unapokosa usingizi, mfumo wa uzalishaji homoni huvurugika ambapo uzalishaji wa homoni za ‘stresi’ (stress hormones) huongezeka. Pia husababisha vidonda vya tumbo na hali ya kusikia njaa hata kama umetoka kula muda mfupi. Uko hatarini kusumbumbuliwa na hasira na ghadhabu kila mara.
ONGEZEKO LA SHINIKIZO LA DAMU
Ukosefu wa usingizi huchangia pia ongezeko la shinikizo la damu, pia huchangia kuzeeka kwa mtu kutokana na kuvurugika kwa uzalishaji wa homoni za ongezeko la umri. Humfanya mtu kuonekana mzee ili hali bado ana umri mdogo.
KUZIDISHA TATIZO LA UKOSEFU WA CHOO
Ukosefu wa usingizi huchangia pia tatizo la ukosefu wa choo na huweza hata kusababisha kifo kama tatizo likiwa sugu.
EPUKA KUTUMIA DAWA ZA USINGIZI
Kama unasumbuliwa na tatizo la ukosefu wa usingizi, jua kwamba hauko peke yako. Utafiti uliofanywa hivi karibuni nchini Marekani na Taasisi ya Taifa ya Usingizi (National Sleep Foundation –NSF), umegundua kuwa kati ya watu 10, ni wanne tu hupata usingizi mzuri kila wiki.
Pamoja na kuonekana kwa athari nyingi za kukosekana kwa usingizi, lakini utakuwa unajiweka katika madhara na hatari zaidi iwapo utalazimisha kupata usingizi kwa kumeza dawa za usingizi, kwa sababu ni hatari na mara nyingi dawa hizo huwa hazisaidii kuondoa tatizo.
KWA MAELEZO ZAIDI JUU YA TATIZO HILI. WASILIANA NA MTAALAMU KWA +255713354389/+255752133700
Ijumaa, 6 Septemba 2013
Alhamisi, 5 Septemba 2013
UJUE UGONJWA WA PRESHA NA JINSI YA KUTATUA TATIZO:
Hii ni hali ambayo moyo husukuma damu kwa hali ambayo si yakawaida,presha(shinikizo la damu) husaidia ktk msukumo wa damu,lkn presha ikiwa kubwa kubwa inaweza kuleta madhara ya kiafya na huweza kusababisha matatizo makubwa ya kiafya.Watu wazima zaidi ya umri wa miaka 18 presha ya dystole inatakiwa kuwa kipimo cha juu cha 120 mm Hg na presha ya diastole ambacho ni kipimo cha chini kabisa inatakiwa kuwa 80mm Hg,presha ya dystole ni kipimo ambacho kinapima nguvu ya msukumo wa damu ktk mishipa ya damu wakati moyo unadunda.Presha ya diastole ni kipimo cha damu ambacho kinapima nguvu ya msukumo wa damu ktk mishipa ya damu wakati moyo umepumzika au kati ya mapigo ya moyo.Presha hupimwa ktk milimita za mercury,hapa ndipo tunasema presha inatakiwa kuwa 120/80 mm Hg
Ugonjwa huu anaweza kuupata mtu yeyote mkubwa au mtoto kulingana na maisha tunayoishi,Presha huathiri vitu vingi mfano Idadi ya maji mwilini,idadi ya chumvi,homoni mwilini,hali ya joto au hali ya baridi,hali ya hisia na hali ya mafigo,mfumo wa neva na mishipa ya damu.
Kama presha itakuwa juu na kuachwa kutodhibitiwa moyo na mishipa haitafanya kazi vizuri kama ipasavyo.Kwasababu neva na seli za mwili tayari zinakuwa zimeshaathiriwa na presha hapo ndipo mtu akitumia dawa zenye kemikali inakuwa ngumu sana kupona kabisa tatizo hilo.
Lakini usijali sasa utapona na utarudi kama kawaida kwa kufuata kile nitakachokuelekeza.
Kuna aina mbili za presha
1. Presha ya asili ambayo yenyewe amabayo chanzo chake hakifahamiki ,lkn tatizo la kigenetics na kimazingira kama,chakula,mazoezi zinanafasi kubwa ktk ugonjwa huu.
2. Presha inayosababishwa na tatizo kwenye mwili Mfano:Kupungua unene wa mishipa flani ya damu,Matatizo ya tezi,Matatizo ya figo,matumizi ya dawa ,madawa ya kulevya au kemikali,matumizi ya madawa ya kuzuia mimba
Hali zinazosababisha Presha
Hali ya unene wa kupindukia
Ulaji mwingi wa chumvi au sodium
Hali ya uvivu
Uvutaji wa sigara
Mazingira ya mifadhaiko ya hali ya juu
Ulaji wa vyakula visivyo vya afya
Historia ya kifamilia ya kusumbuliwa na ugonjwa wa shinikizo la damu
Jinsi Ya Kuzuia Ugonjwa Wa Presha
Acha uvutaji wa sigara
Pungua uzito kama ni mnene
Ongeza mazoezi ya viungo ili kuimarisha hali ya afya ya moyo
Punguza sodium iwe chini ya gramu 2.4 za sodium au chini ya gram 6 za chumvi kwa siku (chumvi kijiko kidogo kimoja na robo)
Punguza ulaji wa vyakula vyenye mafuta na kolestero
Punguza unywaji wa pombe ( tumia kinywaji kimoja au viwili kwa siku)
Ulaji wa kiwango kinachotakiwa cha kalsiumu, potasiamu, magnesiamu,
Dhibiti hali ya mifadhaiko na majonzi
Dalili za Presha
Kuumwa kwa kichwa
Uchovu
Matatizo ya macho
Hali ya kichefuchefu na kutapika
Hali ya woga
Hali ya kuchaganyikiwa
Kupauka kwa ngozi au kuongezeka wekundu wa ngozi
KAMA UNATATIZO HILI BASI LIMEKWISHA WASILIANA NA 0713354389/ +255752133700 UPATE USHAURI NA MATIBABU USIJALI.PRESHA INATIBIKA.
Jumatatu, 2 Septemba 2013
JINSI YA KUONDOA CHUNUSI
Chunusi
husababishwa na kuongezeka kwa uzalishaji wa Testosterone hormone na
mafuta yamwili wakati wa mabadiliko ya kimwili pia husababishwa na
msongo wa mawazo, matatizo ya kisaikolojia.Product kama HERB SOAP, ALOE SOFTGEL, and PEARL BEAUTY ni vitu vya kihalisi vinavyo weza kutibu chunusi na kuna baadhi ya product hazishauriwi kutumiwa na mtu kama unaujauzito au unatatizo la kiafya hivyo unatakiwa kuwasiliana na dactari kabla ya kutumia kwa ushauri.
Kabla
ya kuoga ponda nyanya changanya na asali na maji ya roses na paka
nyanya kwenye uso wako kaa nayo kwa muda wa dakika 20 kabla ya kuosha.
Usiku
kabla ya kulala paka mchanganyiko wa cream, glycerine, and lemon juice
kwenye uso wako na kaa nayo kwa muda wa dakika chake kabla ya kuosha.
Pia
jambo la muhumu kwa mtu anayesumbuliwa na chunusi ni kunywa maji kwa
angalau lita 3 kila siku pia ni muhimu sana kwa ngozi yako, matunda
fresh na mboga za majani kwenye diet yako.
Vitu unavyotakiwa kuepuka ni kugusa uso wako mara kwa mara, epusha nywele kugusa uso wako na kutumbua chunusi kiholela.
Pia epuka kupaka make up nyingi usoni ni vizuri kutopaka make up kabisa ukiwa na tatizo la chunusi.
Jumapili, 1 Septemba 2013
UVIMBE KATIKA KIZAZI UNAOWATESA WANAWAKE
Katika siku za hivi karibuni,wanawake nchini wamekuwa
wakilalamika kuwa kila wanapokwenda kujifungua basi hukutwa na uvimbe katika
nyumba ya uzazi.
Uvimbe huo,ambao si saratani, umekuwa ni tishio kwa maelfu
ya wanawake nchini jambo linalosababisha wengi wao kuondolewa vizazi vyao.
Daktari Bigwa wa magonjwa ya uzazi wa kitengo cha Pathologia
wa Chuo Kikuu Sayansi ya Tiba Muhimbili,Henry Mwakyoma akinukuliwa na Mwandishi
wa Makala haya Bi.Florence Majani,anauelezea Ugonjwa huu na kusema kuwa
fibroids kwa kitaalamu ‘leimyoma’ ni
uvimbe unaowapata asilimia 25 ya wanawake wa kiafrika na asilimia 50 ya
Wazungu.
“Nasisitiza kuwa ,uvimbe huu si saratani,unaojitokeza ama
katika ukuta wa kati, wa nje au ndani kabisa ya nyumba ya uzazi,”anasema.
Anasema; ”uvimbe huu huwa katika umbile la misuli myembamba
na laini na ukua siku hadi siku,” anabainisha Dk.Mwakyoma na kuongeza
kuwa,sababu kuu ya ugonjwa huu,bado haijajulikana.
Anafafanua kuwa,pamoja na kuwa sababu kuu
haijajulikana,lakini zipo sababu ambazo zimehakikiwa kusababisha mwanamke
kupata uvimbe wa fibroids.
“Sababu inayopewa
kipaumbele zaidi ni wingi wa vichocheo
vya ‘estrogen’ ambavyo vipo katika miili ya wanawake.” Anasema.
Dk.Mwakyoma anafafanua kuwa ,vichocheo hivi ndivyo hufanya
kazi katika mwili wa mwanamke na kumsababishia kupata siku zake za hedhi.
“Ndiyo maana wengi wanaopata uvimbe huu,huwa ni wanawake
walio katika balehe au ambao tayari wamevunja ungo,kwani ndiyo ambao huzalisha
vichocheo vya estrogeni,”anabainisha mtaalamu huyo.
Lakini,pia anasema
kuwa endapo inatokea mwanamke akapata matibabu ambayo yatamtaka kuongezewa
vichocheo hivi,huwa katika hatari ya kupata uvimbe huu.
Aidha,daktari huyu anabainisha kuwa,ndiyo maana wanawake
walio katika kikomo cha hedhi(menopause) na watoto hawawezi kupata uvimbe huu.
Anazitaja sifa kuu za ugonjwa huu na kusema ,huwa ni nyingi
kwa sababu ni uvimbe ambao asili yake ni mishipa midogo midogo na
inapokuwa huweza kufikia urefu wa
sentimeta tano na zaidi na uzito wa kilogramu 10.
Anaongeza kuwa,uvimbe huu unaweza kutokea katika kuta zote
za
kizazi cha mwanamke na kumsababishia mwanamke ang’olewe kizazi chake.
“Hata hivyo, wanawake wengi hupata uvimbe huu katika ukuta
wa ndani kabisa wa kizazi,”anasema.
Anataja sifa nyingine
za uvimbe huu ni kuwa na tabia yake ya kubadilikabadilika sana.
Kwa mfano,fibroids huweza kubadilika rangi na kuwa ya
njano,ikabadilika na kuwa katika hali ya kimiminika,baadaye kuwa ngumu au kuwa
laini yenye kutomasika.
Dalili za Fibroids
Dk.Mwakyoma anazitaja sababu za ugonjwa huu na kusema
kuwa,ni vigumu mwanamke kubaini au kuhisi dalili zake.
“Dalili hutegemeana na eneo ulipokaa uvimbe na ukubwa ,wengi
hugundulika wakati wa kujifungua,na ujauzito au endapo mwanamke atapata uvimbe
katikati ya kizazi,basi huweza kutokwa damu kwa wingi,”Anasema.
Anasema: ”Hata hivyo,asilimia 35 hadi 50 ya wanawake
wanaougua maradhi haya huonyesha dalili wakati wa kujifungua,”
Dalili nyingine ni mwanamke kutokwa damu zake za hedhi kwa
wingi na kwa siku nyingi.
Damu za hedhi huweza kuwa nyingi au kidogo sana zikiambatana
na maumivu makali.”Asilimia 30 ya wanawake wanaopata maumivu na damu nyingi
wakati wa hedhi huwa na uvimbe wa aina hii”anasema.
Anasema wakati mwingine mwanamke huweza kuhisi ana ujauzito kwani
uvimbe huu huwa mkubwa na huchezacheza kana kwamba ni kiumbe.
“Nina mifano hai,wapo wanawake waliowahi kuhisi wana ujauzito,wakakosa kabisa
siku zao za hedhi,wakapata dalili zote za ujauzito na kumbe walikuwa na uvimbe
wa fibroids,”anasema.
Anasema,mara nyingi uvimbe unaojitokeza katika ukuta wan je
wa kizazi na kuning’inia,ndiyo hucheza na kuleta dalili za ujauzito.
Mwanamke huweza kuvimba miguu kwa sababu uvimbe huu husababisha damu isitembee.
Anataja dalili nyingine kuwa ni mwanamke kupata maumivu
wakati wa tendo la ndoa.
Wakati mwingine ,fibroids hukua na kuzuia mfumo wa
mmeng’enyo wa chakula na kusababisha mwanamke avimbiwe.
Vile vile, uvimbe huo uweza kuzuia kibofu cha mkojo na
kumfanya
mwanamke apate haja ndogo kwa taabu, au akatokwa na uchafu ukeni.
“Hatari kuu ya uvimbe huu ni ugumba,asilimia 27 hadi 40 ya
wanawake wanaopata uvimbe katika kuta zote za kizazi, hushindwa kupata
watoto,”anafafanua DK.Mwakyoma.
Hatari nyingine ni kwa wanawake wajawazito wenye uvimbe huu
ambao wengi hufanyiwa upasuaji kwani fibroids huweza kuzuia mlango wa kizazi na
mwanamke kushindwa kujifungua.
Imebainishwa kuwa, asilimia 30 ya wanawake hutolewa vizazi
mara baada ya kujifungua kutokana na uvimbe huu.
Mtaalamu huyo anatahadharisha kuwa, wanawake walio katika umri wa kuzaa
lakini hawazai wapo katika hatari ya kupata maradhi haya.
“Hii ni kwa sababu vichocheo vya estrogen hukua kwa wingi na
kusababisha misuli ya fibroids kukua, lakini vichocheo hivyo huacha kukua
wakati wa ujauzito,”anasema.
Anataja walio katika hatari hii ni watawa ambao hawatakiwi
kuzaa au wale wanaopitiliza umri wa kuzaa.
Matibabu ya maradhi haya mara nyingi ni kufanyiwa upasuaji
na kuondoa uvimbe huu au kutolewa kabisa kizazi.
“Hii inategemea na na umri wa mgonjwa,idadi ya watoto na
maamuzi yake binafsi.”anasema.
Jumatano, 21 Agosti 2013
TAMBUA UMUHIMU NA FAIDA YA KULA MATUNDA NA MBOGA MAJANI
APPLES Protects your heart, prevents constipation, Blocks diarrhea, Improves lung capacity Cushions joints
APRICOTS Combats cancer, Controls blood pressure ,Saves your eyesight ,Shields against Alzheimer's ,Slows aging process
ARTICHOKES Aids digestion, Lowers cholesterol, Protects your heart, Stabilizes blood sugar Guards against liver disease
AVOCADOS Battles diabetes, Lowers cholesterol, Helps stops strokes, Controls blood pressure Smoothes skin
BANANA Protects your heart, Quiets a cough, Strengthens bones, Controls blood pressure, Blocks diarrhea
BEANS Prevents constipation, Helps hemorrhoids, Lowers cholesterol, Combats cancer, Stabilizes blood sugar
BEETS Controls blood pressure, Combats cancer, Strengthens bones, Protects your heart, Aids weight loss
BLUEBERRIES Combats cancer, Protects your heart, Stabilizes blood sugar, Boosts memory , Prevents constipation
BROCCOLI Strengthens bones, Saves eyesight, Combats cancer, Protects your heart, Controls blood pressure
CABBAGE Combats cancer, Prevents constipation, Promotes weight loss, Protects your heart, Helps hemorrhoids
CANTALOUPE Saves eyesight, Controls blood pressure, Lowers cholesterol, Combats cancer Supports immune system
CARROTS Saves eyesight, Protects your heart, Prevents constipation, Combats cancer, Promotes weight loss
Unaweza badilisha tabia ya mtoto wako au mtu yeyote unaeishi nae nyumba moja asiyependa kula mboga majani au matunda kwa kubadilisha muonekano wa chakula hicho au tunda hilo kwa kulinakshi kwa mtindo wowote ule ilimradi kionekane kitu tofauti na kinachovutia hii itakua njia rahisi sana kumvutia mtoto au mkubwa chakula kizuri au upambaji wa chakula sio mpaka hotelini hata nyumbani unaweza fanya sanaa hii na wala haiitaji muda mrefu wa maandalizi muonekano bora wa chakula hutia hamasa kwa mlaji leo tutaangalia utengenezaji wa salad na kuipamba na uandaaji wa mboga ktk muonekano wa kuvutia upande wa kuchonga matunda tutaangalia wakati ujao fata maelezo jinsi ya kutengeneza salad yenye mchanganyiko wa mboga mboga hapo chini.
Hili
ni jokofu la kutunzia mchanganyiko wa mboga katika nyuzi joto 4 hadi 5
tu kwa hali ya usalama sana kwa manufaa na afya ya mlaji tukianzia juu
kushoto ni mahindi mabichi ya njano kabla huifadhiwa katika kopo tayari
kwa matumizi, karoti iliyokwaruzwa, Lime stone lettuce, chicory, Radish
iliyokwaruzwa, zucchin iliyokwaruzwa, rollo nyekundu, rollo ya kijani,
matango yaliyokatwa, celeriac salad, curly endive, chicory nyekundu.
Katika
sahani yako anza kupanga mboga ambazo zimekatwakatwa ambazo ni karoti,
matango, mahindi machanga ya njano, celeriac salad na radish nyeupe
Chota kidogo kidogo kila moja panga kwa mtindo wa duara nusu sahani tu kama mduara wa nusu mwezi kati kati acha nafasi kiasi.
Baada
ya hapo chukua jani la salad moja moja toka kila aina ya salad pagange
sambamba majani hayo kisha zungusha yabane kama unataka kuyafunga kamba
kisha kata kiasi upande wa chini utakua umepata kitako safi utakua
umetengeneza kama uwa rozi.
Kisha
liweke juu ya zile mboga mboga pembei yake kata kipande cha tikiti maji
rangi yeyote ile kama ni la kijani, jekundu au rangi ya chungwa pamba
kama invyoonekana katika picha.
Kisha
kata slice nyembamba ya chungwa katikati yake weka tunda lolote dogo la
mviringo kama zabibu au strawbery chomeka toothpick ili ishikilie
chungwa juu ya tikiti maji.
Salad
hii unaweza mwagia dresing yeyote ile mfano italian dressing, french
dressing au siki na chumvi inatosha salad hii unaweza kula na kipande
cha kuku, samaki wakuchemsha au wa kukaanga na unakua umekula mlo safi
kabisa bila stach kwa watu wanaofanya dayati hapa ni mahala pake mvuto
na muonekano wa sahani utamfanya mlaji avutie hata kama si mpenzi wa
mboga na matunda.
Hili
ni jokofu la kutunzia mchanganyiko wa mboga katika nyuzi joto 4 hadi 5
tu kwa hali ya usafi sana kwa manufaa na afya ya mlaji tukianzia juu
kushoto ni nanasi iliyopikwa katika sukari, embe mafuta, cappers,
vitunguu vidogo vya kopo, chopped chives, chopped onion, olives nyeusi,
asparagus, matango machanga yaliyosindikwa, olives zakijani, Nyanya
Katika
sahani yako anza kupanga mboga ambazo zimekatwakatwa ambazo ni karoti,
matango, mahindi machanga ya njano, celeriac salad na radish nyeupe.
Chota kidogo kidogo kila moja panga kwa mtindo wa duara kuzunguka sahani yote katikati acha nafasi.
Baada
ya hapo chukua jani la salad moja moja toka kila aina ya salad pagange
sambamba majani hayo kisha zungusha yabane kama unataka kuyafunga kamba
kisha kata kiasi upande wa chi utakua umepata kitako safi utakua
umetengeneza kama uwa rozi.
Kisha
liweke pembeni ya zile mboga mboga katikati ya sahani unaweza weka
mchanganyiko wowote ule wa nyama ya kuku, ngo'mbe, samaki au sausage
iliyochemshwa ikapoa.
Kata saizi ya kuweza kuingia mdomoni kisha changanya na vitunguu vilivyochopiwa safi pamoja chives.
Mchanganyiko
huo unaweza malizia na chaguo lako la dresing yeyote uipendayo kisha
unamwagia kati kati ya sahani mwisho kata nyanya kipande weka pamoja na
tango dogo la kopo na olive moja ya kijani na moja nyeusi kwa kupamba
salad yako.
Kwa upande wa mlo kamili baada ya kupika chakula chako kikaiva kama ni ugali au wali
Chemsha njegere zisiive sana
Kisha kata vitunguu vidogo sana kaanga katika siagi dakika 1 tu
Kisha weka hizo njegere zilizoiva katika sufuria kwa dk 2 usiasahau chumvi kisha zitoe
Chukua nyanya nzuri ngumu iliyokwisha iva kata nusu pia kata kidogo katika kitako ili iweze kukaa katika sahaki
Kisha toa mbegu zote katikati ya nyanya tumia kijiko kuchota na jaza zile njegere kwanye nyanya
Kisha save nyanya hiyo yenye njegere kama mboga majani itakayo ambatana na chakula chako kama ni cha mchana au cha usiku.
Muonekano na mchanganyiko wa rangi inakua kivutio kizuri sana kwa mtu asiependa kula mboga majani.
Sasa hapa ndio utawakamata kweli kweli wasiopenda kula mboga za majani,
Chukua maharage mabichi yachemshe kiasi yasiive sana yabaki na rangi yake nzuri ya kijani
Kisha unachukua bacon slice zipo aina mbili zipo bacon za nguruwe na bacon za ng'ombe chaguo ni lako mlaji.
Kisha chukua maharage hesabu kumi
na tano kisha zungushia bacon katika maharage hayo weka katika ubao wa
kukatia kata ncha za mwisho ili kuweka usawa na muonekano mzuri zaidi.
Ukishamaliza weka kikaango kwenye
jiko la moto wa wastani tu weka mafuta kiasi katika kikaango yakishapata
moto weka maharage yaliyozungushiwa bacon kaanga kiasi tu ili ile
bacona ikauke.
Kisha toa tayari kwa chakula pia
sevu kama mboga majani itakayo ambatana na chakula chako kama ni cha
mchana au cha usiku. Muonekano na mchanganyiko wa rangi inakua kivutio
kizuri sana kwa mtu asiependa kula mboga majani.

Nashukuru sana mdau aliezungumzia
upatikanaji wa bacon ya ng'ombe, nikweli kwa ulaya kupata bacon ya
ng'ombe ni adimu sana ila hapa kwetu Tanzania zinapatikana kwa wingi
ukienda katika supermaket kubwa au maduka makubwa ya nyama utapata.
Jumatano, 14 Agosti 2013
DO YOU KNOW THE TOP 10 LIFESTYLE DISEASES?
Alzheimer's Disease: a form of brain disease.
No one knows the exact cause, but a real breakdown of the cells of the brain does occur. There is no treatment, but good nutrition may slow the progress of this lifestyle disease, which lasts about seven years in most people who have it.
Arteriosclerosis: A generic term for several diseases in which the arterial wall becomes thicken and loses elasticity. Atherosclerosis is the most common and serious vascular disease.
Plaques (atheromas) deposited in the walls of arteries are major causes of heart disease, chest pain (angina pectoris), heart attacks, and other disorders of the circulation. In atherosclerosis yellowish plaques of cholesterol, fats, and other remains are deposited in the walls of large and medium-sized arteries. Atherosclerosis usually occurs with aging. It is linked to overweight, high blood pressure, and diabetes.
Cancer: diseases characterized by uncontrolled, abnormal growth of cells.
Cancer has been the number two cause of death since 1938, But, at the turn of the 20th century, it was only #8. Cancer is definitely considered the number one Disease of Civilization.
There are more than 150 different kinds of cancer and many different causes.
No one knows the exact cause, but a real breakdown of the cells of the brain does occur. There is no treatment, but good nutrition may slow the progress of this lifestyle disease, which lasts about seven years in most people who have it.
Arteriosclerosis: A generic term for several diseases in which the arterial wall becomes thicken and loses elasticity. Atherosclerosis is the most common and serious vascular disease.
Plaques (atheromas) deposited in the walls of arteries are major causes of heart disease, chest pain (angina pectoris), heart attacks, and other disorders of the circulation. In atherosclerosis yellowish plaques of cholesterol, fats, and other remains are deposited in the walls of large and medium-sized arteries. Atherosclerosis usually occurs with aging. It is linked to overweight, high blood pressure, and diabetes.
Cancer: diseases characterized by uncontrolled, abnormal growth of cells.
Cancer has been the number two cause of death since 1938, But, at the turn of the 20th century, it was only #8. Cancer is definitely considered the number one Disease of Civilization.
There are more than 150 different kinds of cancer and many different causes.
Top 5 Cancers in USA
MEN
- Prostate (28%)
- Lung (17%)
- Colorectal (12%)
- Bladder (07%)
- Non-Hodgkin's Lymphoma (04%)
WOMEN
- Breast (30%)
- Lung (13%)
- Colorectal (12%)
- Uterus (06%)
- Ovary (04%)
Chronic Liver Disease/Cirrhosis: any of a group of liver disorders.
Characteristics
of liver disease are jaundice, loss of appetite, liver enlargement,
fluid accumulation, and impaired consciousness.
Chronic Obstructive Pulmonary Disease (COPD): a disease characterized by slowly progressing, irreversible airway obstruction.
The
symptoms are problems in breathing while exercising, difficulty in
breathing in or out deeply, and sometimes a long-term cough. The
condition may result from chronic bronchitis, emphysema, asthma, or
chronic bronchiolitis. Cigarette smoking and air pollution make it
worse.
Diabetes: a disease affecting sugars used by the body.
There
are four main types of diabetes mellitus. Type I diabetes is also
called insulin-dependent diabetes, juvenile-onset diabetes, brittle
diabetes, or ketosis-prone diabetes. Type II diabetes is also called
non-insulin-dependent diabetes, adult-onset diabetes, ketosis-resistant
diabetes, or stable diabetes. Type II often develops in over weight
adults. Type III, or gestational diabetes, occurs in some women during
pregnancy. Type IV includes other types of diabetes are linked to
disease of the pancreas, hormonal changes, side effects of drugs, or
genetic defects.
Heart Disease: any of several abnormalities that affect the heart muscle or the blood vessels of the heart.
Heart
disease has been the number one cause of mortality and morbidity in
most of the USA since 1910. But, at the turn of the 20th century, it was
only #4.
There
are a couple dozen forms of this lifestyle disease. Heart disease and
other forms of cardiovascular disease can lead to congestive heart
failure, a condition in which the heart cannot pump sufficient blood to
meet the demands of the body. The various forms of heart disease may
also cause disturbances in normal heartbeat, called arrhythmia.
Nephritis/CRF: any disease of the kidney marked by swelling and abnormal function.
Characteristics
of kidney disease are bloody urine, persistent protein in urine, pus in
urine, edema, difficult urination, and pain in the back.
Stroke: a condition due to the lack of oxygen to the brain that may lead to reversible or irreversible paralysis.
Stroke
is linked to advanced age, high blood pressure, previous attacks of
poor circulation, cigarette smoking, heart disorders, embolism, family
history of strokes, use of birth-control pills, diabetes mellitus, lack
of exercise, over weight, high cholesterol, and hyperlipidemia.
Mobile no.+255 713354389, + 255 752133700
Email: newlifecompany10@gmail.com
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)