Jumanne, 21 Oktoba 2014

SAYANSI YA CHAKULA,CHAKULA NI NINI?

Leo ninaongeza kipengele/category mpay hapa jikonoi,kipengele hiki ninakiita SAYANSI YA CHAKULA. Katika kipengele hiki  tutajifunza juu ya sayansi ya chakula  ili upate uelewa zaidi juu ya chakula na virutubisho kwa ujumla.
foods
Kuna ufaam mdogo sana juu ya chakula na sayansi ya chakula katika jamii,hii hufanya watu washindwe kula chakula bora kwani wengi hawajui wale nini na kwanini .Ongezeko la magonjwa yasababishwayo na chakula nalo limekua kubwa sana katika jamii yetu,idadi ya watu wenye uzito mkubwa (wanene) nayo inazidi kuongezeka haya yote huchangiwa na ufaham mdogoo juu ya sayansi ya chakula.
Katika makala hizi,nitajitahidi kutumia lugha rahisi ili kila moja aelewe.Ingawa nitaandika makala hizi katika lugha ya Kiswahili, lugha ya kiingereza pia nitatumia pale nitakapo lazimika kwani kuna baadhi ya maneno au vitu amabavyo  havina tafsiri katika lugha ya Kiswahili au laa nimeshindwa kupata tafsiri yake.
Masomo/makala hizi zitafundisha yale yanayompasa kila mtu kujua Juu ya vyakula na virutubisho.hayatakua na uchambuzi wa ndani sana.kwani lengo nikutoa utambuzi wa awali juu ya sayansi ya chakula.
Tutaanza kwa kujifunza juu ya chakula na virutubisho.
Chakula ni nini?
Chakula nikitu chochote kinacholiwa ambacho huupa mwili virutubisho na urutubisha mwili.kuna vyanzo vikuu viwili vya chakula navyo ni MIMEA NA WANYAMA.
A) Mimea - vyakula vitokanavyo na mimea vimegawanyika katika makundi  manne
  1. .Mizizi - karoti,viazi,Mihogo
  2. .majani na matawi – kisamvu,mchicha,sukumawiki
  3. .Matunda - Machungwa,maboga,maembe,ndizi
  4. .Mbegu - mchele,mahindi,maharage
vyakula vitokanavyo na mimea
vyakula vitokanavyo na mimea
B) Wanyama – vyakula vitokanavyo na wanyam ni
  1. .Nyama
  2. .mayai
  3. .Maziwa
vyakula vitokanavyo na wanyama
vyakula vitokanavyo na wanyama
Ladha
Vyakula vimegawanyika katika makundi manne ya ladha,binadam anapokula chakula chochote anapata moja kati ya ladha hizi
  1. Tamu - ladha hii husababishwa na uwepo wa  sukari  katika chakula
  2. Chungu - ladha mbaya na haipedwi
  3. Chachu - ladha inayosababishwa na uwepo wa asidi kwenye chaku
  4. Chumvi - husababishwa na uwepo ya alkalini kwenye chakula
Virutubisho vya chakula ni nini?
Virutubisho vya chakula ni vitu(substance) ambavyo hurutubisha (nourish) mwili,Virutubisho hujenga na kurekebisha seli za mwili.Virutubisho hivi  hupatikana kwenye vyakula vyote.
Virutubisho vya chakula
Virutubisho vya chakula
Virutubisho  vya chakula vimegawanyika katika makundi sita
  1. Wanga ,kazi yake kubwa nikuleta nguvu mwilini. mfano:mahindi,viazi,ngano ,mchele
  2. Protini - kazi yake kubwa ni kujenga mwili . mfano:Nyama,mayai ,maharage,njegere,maziwa
  3. Mafuta – kazi yake kubwa nikuleta joto mwilini. mfano:mafuta ya arizeti,siagi,mafuta ya samaki
  4.  Vitamini - kazi yake kubwa ni kulinda mwili. Mfano maembe,machungwa,nanasi,zabibu
  5. Madini mwili - Huusika sana katika kuwezesha mifumo ya mwili. Mfano:chumvi,aubuyu,dagaa,mboga zakijani (Vyanzo  vya baadhi ya madini)
  6. Maji - Huwezesha mifumo mbalimbali katika mwili.Mfano maji yakunywa
Ingawa nimetaja kazi kuu ya kila kirutubisho katika mwili,nivyema ujue kwamba hizo si kazi pekee za virutubisho hivyo.Tutachambua kila kirutubisho siku zijazo
Chakula na virutubisho
Vyakula vyote huwa nazaidi ya kirutubisho kimoja,virutubisho hivyo hotofautiana kwa wingi au kiasi.Mfano: Wali (mchele) una wanga asilimia 89,mafuta asilimia 4 na protini asilimia 7.
Ili mwili wa binadm hufanye kazi vizuri unaitaji kupata virutubisho vyote sita katika uwiano au kiasi sahihi,yani lishe bora.Uhitaji wa virutubisho hutofautina miongoni mwa watu wa makundi mbaimbalikama watoto, wazee,vijana,wajawazoito na wagonjwa wa magonjwa mbalimbali.Umri,jinsi na shughuli zako mtu zakila siku pia huchangia kuamua ale virutubisho katika uwiano gani.
Hitimisho
Huwezi kuongelea chakula bila kuongelea virutubisho vyake,wala huwezi kuongelea virutubisho vya chakula bila kuongelea chakula.chakula na virutubisho vyake ni vitu viwili visivyotengana.Hivyo basi,ili ukifahamu chakula ni lazima uvifahamu virutubisho,na ili uvifahamu virutubisho ni lazima ukifahamu chakula. Naamini  somo/makala hii imeleweka.katika makala zijazo,tutachambua kila kirutubisho kwa upana zaidi.

Jumanne, 29 Julai 2014

How to Relieve Constipation

Constipation occurs when the muscle contractions in your intestines are too slow to push the stool out of your body, or when there isn't enough water in your stool to soften it and move it through your intestines. There are a number of things you can do to relieve your constipation, from adjusting your diet to trying a few over-the-counter medications. If you want to know how to relieve constipation and stop feeling uncomfortable, just follow these steps.


Method 1 of 3: Change Your Diet

  1. Relieve Constipation Step 1 Version 2.jpg
    1
    Add more fiber-rich foods to your diet. Fiber-rich foods are known to help stimulate your bowels. Unfortunately, these foods, such as many fruits and vegetables, often get overlooked in a person's daily diet. Don't think of veggies or fruits as optional side dishes, but as crucial parts of every balanced meal. Not only will these foods relieve constipation, but they will also promote digestive health by improving your diet. You should aim for at least 24-38 grams of fiber a day. Here are some foods to add to your diet:[1]
    • Avocado, split peas, broccoli, kale, green peas, and lentils
    • Bran cereal, oatmeal, brown rice, and flax seeds
    • Black beans, kidney beans, lima beans, navy beans, pinto beans, and soybeans
    • Raspberries, blackberries, strawberries, blueberries, and oranges
    • Cabbage and cauliflower
    • Almonds, dried figs, and olives
    • Papaya and peaches
    Ad
  2. Relieve Constipation Step 2 Version 2.jpg
    2
    Increase the intensity of fiber. If adding a few fiber-rich foods to your diet doesn't improve your problem, you can try a three-day fast of a high-fiber vegetable, or substituting one or two of your meals for foods that are entirely fiber-rich. This is not a good long-term solution because a balanced diet does require proteins and carbohydrates as well, but the three-day method can work in a pinch.
    • Cabbage is particularly good because it's not only high in fiber, but it has enzymes which encourage the entire digestive tract to "flush." This is also a good liver cleanse for a build-up of liver toxins.
    • Cabbage can be prepared in a number of ways, including skillet frying, if the oil used is grape-seed oil or olive oil. You should vary your recipes so the three-day fast becomes enjoyable.
  3. Relieve Constipation Step 3 Version 2.jpg
    3
    Take a fiber supplement. Consider taking a fiber supplement even if you think you are able to get that much fiber from your daily meals. Though these supplements aren't guaranteed to work, they have helped people relieve their constipation in some cases. Some processed or synthetic fibers such as Citrucel, Metamucil, or Perdiem can do the trick.[2]
  4. Relieve Constipation Step 4 Version 2.jpg
    4
    Hydrate well. Constipation can also be caused by insufficient hydration. Generally drink a minimum of 33-66 ounces (1.5-2 liters) per day, or more depending on your size, the weather, or amount of exercise. Constipation results from a lack of liquid in your stools, and hydrating can help this problem.
    • If you're having a bout of constipation, increase your water consumption for 3-4 days, starting with a big glass in the morning and drinking regularly throughout the day.
    • In general, you should be drinking at least 10 glasses of warm water daily. Water is one of the best liquids that wash waste and toxins out of the body.[3]
    • Other drinks, such as juice and soda, cannot compare regardless of how healthy or natural they are, because they tend to contain excessive sugar that could actually exacerbate constipation.
  5. Relieve Constipation Step 5.jpg
    5
    Add prunes or prune juice to your diet. Prunes are especially high in fiber and contain sorbitol, a stool-loosening sugar that naturally helps relieve constipation. Sorbitol is a mild colonic stimulant that helps reduce transit time of stool and thus decrease the risk of constipation.[4] If you don't like the wrinkly texture or unique taste of prunes, prune juice may be a more palatable alternative.
    • Prunes are more effective for relieving constipation than prune juice. Prunes have 14.7g of sorbitol per 100g, whereas prune juice has 6.1g per 100g. You will have to drink more prune juice to achieve the same health benefits because the prunes are processed, and you will have to take in additional sugars.
  6. Relieve Constipation Step 6 Version 2.jpg
    6
    Try the banana cure for mild constipation. This requires that you eat a banana with a glass of warm milk, chewing the banana carefully. Make sure that the banana is very ripe, not unripe, or it can have the opposite effect.
  7. Relieve Constipation Step 7 Version 2.jpg
    7
    Avoid foods that cause constipation. Constipation results from over consumption of fats, refined sugar, and dairy in comparison to fiber from whole grains, bran, fruits and vegetables. Avoid foods that are high in sugar, like candy or cookies, as well as too much cheese, white bread, white rice, and hard boiled eggs. You don't have to cut these foods out of your diet completely, but you should cut down on these foods if you're having trouble evacuating your bowels. Here are some other foods to avoid:[5][6]
    • Chips and crackers
    • Frozen dinners, which are often high in fat and low in fiber
    • Cookies
    • Unripe bananas
    • Fried foods like fries, doughnuts, and onion rings
    • Heavily breaded foods
    • Dairy products like butter, ice cream, cheese, or yogurt
    • Red meat
  8. Relieve Constipation Step 8 Version 2.jpg
    8
    Avoid caffeine. Though caffeine can help you relieve your bowels as a quick fix, a long-term use of caffeine can actually cause dehydration and exacerbate your problem.[7]
  9. Relieve Constipation Step 9 Version 2.jpg
    9
    Avoid alcohol. Like caffeine, alcohol can dehydrate you and make you more constipated. Limiting or stopping your intake of alcohol can help you relieve your bowels.[8]

Method 2 of 3: Change Your Lifestyle

  1. Relieve Constipation Step 10.jpg
    1
    Schedule time each day for a bowel movement. Scheduling a time to have a bowel movement promotes regularity and can trigger your body to have a bowel movement. Make time for a bowel movement, whether it's in the morning, after your afternoon meal, or several times a day that are convenient for you. If you don't have a regular schedule, your body can be confused and unready to have a movement.
  2. Relieve Constipation Step 11.jpg
    2
    Heed the call. If your body is telling you that it's time to have a movement, don't put it off. Even if it's only a mild suggestion, you should spend some time in the bathroom, even if you're in the middle of a busy day. If you ignore your body when it's telling you to have a movement, this can cause constipation later in the day. You may be ready to have a movement later, but your body won't be.
  3. Relieve Constipation Step 12.jpg
    3
    Stay active. When you're going through a bout of constipation, try some light exercise instead of sitting down. Just taking a 20 to 30 minute walk can help stimulate your digestive tract. Any form of exercise can help your body promote healthy bowel movements.
    • Though you may not have time to go on a bike ride during a bout of constipation, plugging exercise into your weekly routine can help ease your constipation over time.
  4. Relieve Constipation Step 13.jpg
    4
    Do yoga. Yoga has been known to relieve stress and improve overall digestive health. There are also a few yoga poses that can stimulate the bowels, and holding these poses alone can be effective in relieving your constipation. Here are some poses to try:
    • The shoulder stand. Lie on your back and raise your legs straight up in the air, so they're perpendicular to your torso. Then place your hands on your lower back, using your arms to support your legs as you straighten your spine.
    • The wind-relieving pose. Lie flat on your back. Bend one knee and extend it to your chest, holding it for ten seconds. Then switch and do this with the other knee. Alternate between knees at least five to ten times.
  5. Relieve Constipation Step 14.jpg
    5
    Squat on the toilet. When you sit on the toilet, don't put your feet on the ground. Instead, lift them up so you're squatting into the toilet a bit more, or place them on a footstool. This position is ideal for moving your bowels.
  6. 6
    Find something about knee-high with handles you can grab. Position it so the handles are right above your toes. Two tall, wooden stools might work. Grab the handles and press down for stability and strength while trying to move your bowels.
  7. Relieve Constipation Step 15.jpg
    7
    Do daily acupressure. Massaging or pressing a few key pressure points in your body with a free hand or just two fingers can help stimulate your colon and relieve your constipation. Try applying pressure to the following points:[9]
    • The outer end of the elbow crease
    • The highest spot of the muscle on the back of the hand that sticks out when you bring your index finger and thumb close together
    • Directly below the bellybutton

Method 3 of 3: Take Measures for More Difficult Cases

  1. Relieve Constipation Step 16.jpg
    1
    Know when to talk to your doctor. Though constipation is a common problem that can affect 15-20% of Americans, if your constipation lingers for three weeks or more, you should see a doctor because it could be a sign of more serious digestive conditions.[10]Here are some other reasons to see your doctor:[11]
    • You have severe constipation and have never been constipated before
    • You have blood in your stools
    • You're bleeding frequently from straining
    • You've lost weight without trying
  2. Relieve Constipation Step 17.jpg
    2
    Use a rectal glycerin suppository. This suppository works by drawing water into the intestines. This usually results in a bowel movement within 15 minutes to an hour. This method is not meant to be used often, but is a measure to be taken in more extreme cases. Follow the directions on the label and don't use it more often than recommended.[12]
  3. Relieve Constipation Step 18.jpg
    3
    Take a saline (osmotic) laxative. You should not take these types of laxatives if you're on a sodium-restricted diet or if you have high blood pressure or kidney problems. Some saline laxatives include Fleet Phospho-Soda, Milk of Magnesia, lactulose, and Miralax. These laxatives don't irritate the colons or cause dependence like stimulant laxatives can.
  4. Relieve Constipation Step 19.jpg
    4
    Take a stimulant laxative. Some stimulant laxatives, such as Ex-Lax, can also help relieve constipation. However, these should only be used in a pinch, and for no longer than two weeks without consulting your doctor. Regular use of laxatives can actually cause dependence, weaken your bones, and may even cause constipation.[13]
  5. Relieve Constipation Step 20.jpg
    5
    Be wary of painkillers. Painkillers, especially narcotic ones such as hydrocodone (Vicodin, Lorcet, Norco) and oxycodone (Percocet and Oxycontin), can cause constipation. Though you shouldn't stop taking painkillers just to relieve your constipation if you really need them, talk to a doctor about alternatives.
  6. FOR MORE INFORMATION AND SOLUTION CALL +255762285404 OR +255713354389. ONLY TSHS 100,000 WE ARE SOLVE YOUR PROBLEM.

Jumatatu, 28 Julai 2014

FAHAMU AINA ZA KIHARUSI (STROKE)




Kiharusi au kwa Kiingereza Stroke ni kitendo cha baadhi ya viungo vya mwili kuwa na ganzi au kutojiweza kufanya kazi zake za kawaida.Kuna aina mbili za kiharusi, lakini kabla ya kuchambua hayo tuangalie, ni nini kinasababisha mtu kukumbwa na ugonjwa huu? 


Mtu anaweza kupata dalili za ugonjwa huu wa kiharusi na baada ya dakika chake zikaisha.
Kiharusi kinampata binadamu baada ya eneo la ubongo kukosa damu kwa saa 24 ama zaidi au kunapotokea kizuizi cha damu au mishipa ya damu kushindwa kusafirisha damu au mshipa huo unapopasuka. 

Kiharusi kimegawanyika katika aina kuu mbili kulingana na jinsi kinavyotokea, kwanza ni: 

1. Kiharusi cha kukosa hewa kwenye ubongo kitaalamu huitwa Ischemic stroke. (Ischemic ni neno la Kigiriki lenye maana ya kuzuia damu).
Aina hii ya kiharusi hutokea iwapo usambazaji wa damu katika sehemu ya ubongo hupungua na kusababisha tishu za ubongo za eneo lililoathirika kushindwa kufanya kazi zake vizuri. 

Hiki hutokea baada ya mshipa wa ateri kuziba kutokana na kuganda kwa damu, hali ambayo inasababisha damu isisafiri vyema na kuelekea kwenye ubongo. 

Hali hiyo pia hufanya damu iliyoganda kuziba mishipa midogo ndani ya ubongo kitaalamu huitwa Cerebral thrombosis au kipande cha damu kumeguka na kwenda kuziba mshipa wa damu kwenye ubongo kitaalamu huitwa Cerebral embolism. 

Lakini tatizo hili linaweza kutokea pale damu inapoganda sehemu nyingine ya mwili na kusafiri hadi kwenye mishipa ya ateri, hivyo kusababisha damu kwenda kwenye ubongo kukwama.
Hata hivyo, tatizo hili linaweza kusababisha kitu kinachoitwa Lacunar stroke, yaani vimirija vidogovidogo sana vya damu vilivyopo ndani ya ubongo, vinaziba. 

Hapo sasa binadamu huwa anakumbwa na kiharusi kinachojulikana kitaalamu Lacunar stroke japokuwa mara nyingi hii haiwaletei sana shida wagonjwa. 

KIHARUSI CHA HAEMORRHAGE
Baada ya kufafanua kiharusi kinachoitwa ischaemia ambacho ndani yake tukaelezea pia kile kinachoitwa Lacunar stroke, sasa tuelezee aina ya kiharusi kiitwacho Haemorrhage.
Aina hii ya kiharusi, mrija wa damu karibu ama kwenye ubongo hupata mpasuko, hivyo kusababisha damu kuvuja na kitendo hicho ndicho kitaalamu huitwa Haemorrhage. 

Kinachotokea ni kwamba damu inayovuja hukandamiza ubongo na kuuharibu, ubongo ni moja ya kiungo laini sana mwilini. 

Katika hali ya kitaalamu inayoitwa Intra cerebral haemorrhage, uvujaji wa damu hufanyika ndani ya ubongo wenyewe. Mara nyingi aina hii ya kiharusi hutanguliwa na dalili za kichwa kuuma, au kuwepo kwa historia ya ajali ya kichwa. 

Lakini kuna hali pia inayoitwa Subarachnoid haemorrhage ambapo mpasuko wa mshipa wa damu hufanyika karibu na eneo linalozunguka ubongo linaloitwa Subarachnoid. 

Wakati fulani, mishipa ya damu huzungukwa na aina fulani za mafuta yasiyofaa mwilini, hali inayoitwa kitaalamu kama Atherosclerotic plaque. Hali hii husababisha kuganda kwa damu katika mishipa (thrombosis) hiyo.

BAADHI YA SABABU ZA MWANAMKE KUSHINDWA KUPATA UJAUZITO

Moja ya matatizo yaliyoko katika jamii zetu na yamesababisha wanandoa wengi au wanawake wengi kukosa furaha, ni kukosa uwezo wa kupata ujauzito kwa mwanamke. 

Sote tunafahamu kuwa, swala la mwanamke kupata ujauzito linahusisha pande zote mbili, yaani upande wa mwanamke na pia upande wa mwanamme, wote wawili wanapokuwa katika afya nzuri ndipo ujauzito unaweza kupatikana kwa mwanamke.

Miongoni mwa sababu zinazoweza kumfanya mwanamke ashindwe kupata ujauzito ni kama zifuatazo:


Matatizo katika homoni, hii ni kutokana na kwamba, mzunguko (Menstrual cycle) katika mwili wa mwanamke hutawaliwa na hizi kemikali asilia ndani ya mwili ambapo mabadiliko madogo yakitokea katika uzalishaji wa hizi homoni au homoni kuzalishwa katika wakati ambao siyo muafaka huweza kupelekea mwanamke akashindwa kupata ujauzito, pia tatizo la kuwa na uzito wa mwili mdogo sana au mkubwa sana pia huathiri hali nzima ya homoni na kupelekea kushindwa kupata ujauzito.

Umri, kwa wanawake uwezo wa kupata ujauzito unapungua kwa kadri umri unavyoongezeka, hii inatokana na kupungua kwa uzalishaji wa homoni husika wakati umri unavyoongezeka. Kuanzia miaka 35 na kuendelea huwa kunakuwa na tatizo la kushindwa kupata ujauzito kwa wanawake wengi.

Kuziba kwa mirija (fallopian tubes), hii husababisha mbegu za kiume (sperms) zishindwe kulifikia yai na kulirutubisha ili ujauzito utokee. Kuziba kwa mirija huweza kusababishwa na magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya kujamiiana, matatizo katika kizazi au upasuaji. Mara nyingi wanawake ambao mirija yao imeziba, hawahisi dalili zozote.

Ute ute katika kizazi (mucus problems), ute unaopatikana katika kizazi cha mwanamke huwa na sifa ya kuruhusu mbegu za kiume ziweze kusafiri kwa urahisi na kulifikia yai ili kulirutubisha. Kwa baadhi ya wanawake ute huu unakuwa na uzito na kemikali ambazo ni vigumu kwa mbegu za kiume kuweza kupita, na wakati mwingine mwili wa mwanamke huzalisha sumu ambazo huziua mbegu za kiume, haya yote husababisha kukutana kwa yai na mbegu za kiume kusitokee na hivyo ujauzito kutopatikana.

Uvimbe katika kizazi (fibroids), hii huchangia asilimia tatu (3%) katika mwanamke kutopata ujauzito. Uvimbe huu ambao hutokea katika kuta za mji wa mimba, kwa namna moja au nyingine huweza kuzuia yai lililorutubishwa lisikae sehemu yake na hivyo kuathiri kizazi.

Matibabu ya kansa, kwa kutegemeana na aina ya matibabu, aina ya dawa au njia ya mionzi, hizi huweza kumuathiri mwanamke na kumsababishia kushindwa kupata ujauzito.

Ukomavu katika kizazi, kwa baadhi ya wanawake wanayo matatizo ambayo kizazi chao huwa hakijakomaa vizuri au katika kuzaliwa kwao walizaliwa na tatizo hili ambalo, kizazi hakiko sawa (abnormally developed uterus).

Asilimia kubwa ya matatizo ya mwanamke kushindwa kupata ujauzito yanayo tiba, kama unalo tatizo katika kupata ujauzito usikate tamaa, onana na wataalamu wa afya ili uweze kujua chanzo cha tatizo lako na kupatiwa msaada unaostahili.

Jumapili, 27 Julai 2014

NEW-LIFE AFYA CLINIC INAPENDA KUKUPA DALILI ZA SARATANI YA KIZAZI SIKU YA LEO.



Saratani ya kansa huwa na dalili zake za awali ambazo tutakuja kuziona. Tunapozungumzia saratani ya kizazi tunalenga zaidi saratani ya shingo ya uzazi ‘Carcionoma of Cerix’ na saratani ya mfumo wa uzazi au ‘Endometrial Carcinoma. 

Saratani ya mfuko wa kizazi hushambulia zaidi tabaka la ndani la kizazi ‘Endometrium’ na kusababisha maumivu ya tumbo kwa muda mrefu na hata tumbo kuvimba. 

Saratani hii siyo kubwa sana hivyo hatutaelezea kwa undani ila endapo utakuwa na maumivu chini ya tumbo na yanasambaa kulia na kushoto na upande wa juu, tumbo likiwa linaongezeka ukubwa na siku za hedhi zinavurugika, basi muone daktari wa kinamama kwa uchunguzi wa kina. 

Saratani ya shingo ya uzazi huwapata wanawake walio katika umri wa kuzaa wenye wapenzi zaidi ya mmoja au ambao mara leo kaolewa na huyu,… 


Saratani ya kansa huwa na dalili zake za awali ambazo tutakuja kuziona. Tunapozungumzia saratani ya kizazi tunalenga zaidi saratani ya shingo ya uzazi ‘Carcionoma of Cerix’ na saratani ya mfumo wa uzazi au ‘Endometrial Carcinoma. 

Saratani ya mfuko wa kizazi hushambulia zaidi tabaka la ndani la kizazi ‘Endometrium’ na kusababisha maumivu ya tumbo kwa muda mrefu na hata tumbo kuvimba. 

Saratani hii siyo kubwa sana hivyo hatutaelezea kwa undani ila endapo utakuwa na maumivu chini ya tumbo na yanasambaa kulia na kushoto na upande wa juu, tumbo likiwa linaongezeka ukubwa na siku za hedhi zinavurugika, basi muone daktari wa kinamama kwa uchunguzi wa kina. 

Saratani ya shingo ya uzazi huwapata wanawake walio katika umri wa kuzaa wenye wapenzi zaidi ya mmoja au ambao mara leo kaolewa na huyu, anaachana naye anaishi na mwingine, yaani mara kwa mara hana msimamo, anabadilibadili wanaume, wanawake wanaofanya ngono na wanaume wasiofanyiwa tohara pia hupatwa na tatizo hili la saratani ya shingo ya uzazi. 

Saratani ya shingo ya uzazi pamoja na kuchangiwa na mambo yote hayo hapo juu, husababishwa hasa na kirusi kiitwacho ‘Human Papilloma virus’ au kwa kifupi ‘HPV’. Kirusi hiki huenezwa kwa njia ya ngono, mwanaume huwa hakimuathiri bali yeye hukibeba na kukisambaza kwa wanawake kwa hiyo mwanamke anayechanganya wanaume hajui wapi atakipata.

Ukubwa wa tatizo
Saratani ya shingo ya kizazi ina tabia ya kusambaa endapo haitagundulika na tiba haitafanyika mapema. Saratani husambaa katika kizazi, nyonga hadi katika mapafu. Ikishambulia nyonga, mwanamke hulalamika maumivu chini ya tumbo.

Saratani hii ina tabia ya kusambaa kwa kasi na endapo hatua za haraka hazitachukuliwa husababisha kifo kwa mwanamke. Saratani huwa haiambukizi.

Dalili za awali za saratani ya shingo ya uzazi
Mwanamke mwenye tatizo hili hulalamika maumivu ya tumbo chini ya kitovu, kutokwa na majimaji yenye harufu ukeni na muwasho mara kwa mara. Tatizo hili hutibiwa na kujirudia tena mara kwa mara. 

Mwanamke hulalamika kwamba ametibiwa sana kwa dawa za kumeza na kuingia ukeni lakini hapati nafuu. Hupoteza hamu ya tendo la ndoa, maumivu wakati wa tendo la ndoa na mwishowe hutokwa na damu ukeni baada ya tendo la ndoa. 

Saratani inaposambaa na kushambulia shingo ya uzazi huathiri ukeni na kuumiza njia ya mkojo na kibofu.
Uke huvimba na kuonekana kuziba na mlango wa kizazi au ngozi ya ndani ya ukeni ikiguswa tu kidogo basi hutokwa na damu kwani huwa laini sana. Hii ni hatua mbaya na ya mwisho katika saratani inaposambaa.

Uchunguzi

Uchunguzi wa saratani ya shingo ya uzazi hufanyika katika vituo mbalimbali katika kampeni maalum dhidi ya saratani ya shingo ya uzazi. 

Uchunguzi pia hufanyika katika hospitali za mikoa na wilaya katika kliniki za magonjwa ya kinamama ambapo vipimo mbalimbali hufanyika mojawapo ikiwa ni kuangalia mlango na shingo ya uzazi. 

Kipimo cha Ultrasound pia kitafanyika kuangalia athari katika kizazi. Majimaji ya ukeni yatapimwa kuangalia maambukizi na uchunguzi wa awali wa saratani utafanyika.
Endapo mlango wa uzazi utakuwa umeathirika sana, basi kinyama kitatolewa na kupimwa katika maabara kubwa kuthibitisha tatizo.

WASILIANA NASI KWA +255762285404 AU +255713354389 KWA USHAURI NA SULUHISHO ZAIDI.

NEW-LIFE AFYA CLINIC INAKUPA ELIMU YA KUTOKWA NA MAJIMAJI KWENYE MATITI (GALACTORRHEA)

Tatizo hili husimama lenyewe kama ugonjwa ingawa pia inaweza kuwa ni dalili kama mwanamke ni mjamzito, ananyonyesha au ametoa mimba au ameharibikiwa na mimba.Kusimama kwake kama ugonjwa ni pale yanapotoka wakati mwanamke hana historia ya dalili hizo hapo juu. 

Tatizo hili huwapata wanawake wengi na kwa mujibu wa takwimu huathiri asilimia tano hadi 32 ya wanawake walio katika umri wa kuzaa.Pamoja na kuwapata zaidi wanawake, hali ya kutokwa na majimaji katika matiti pia huweza kuwatokea wanaume watu wazima, vijana walio katika umri wa balehe, wa kike na wa kiume, watoto wachanga wa kike na wa kiume. 

Chanzo cha tatizo
Matiti yanaweza kutoa majimaji endapo chuchu zitachezewa au kunyonywa mara kwa mara na kusababisha kuvuruga baadhi ya homoni mwilini. 

Homoni zinazohusika zaidi na tatizo hili ni homoni ya ‘prolactine’. 
Vilevile katika hali hii ya kutokwa na majimaji asilimia 50 ya matatizo chanzo chake bado hakijulikani.
Mama anayenyonyesha homoni zinazochangizwa na kusababisha matiti yatoe maziwa ni ‘Prolactin’, Estrogen’ na Progesterone. 

Dawa nyingine zinazoweza kumfanya mtu atokwe na majimaji katika matiti ni dawa kama Methyldopa, madawa ya kulevya na dawa za magonjwa ya akili. 

Pamoja na matatizo katika mfumo wa homoni, hali ya kusuguasugua kifua mara kwa mara, hali ya kuwa na hofu na wasiwasi au shauku f’lani, mfano ya kuhitaji kupata ujauzito husababisha kuamsha homoni za uzalishaji wa maziwa au hayo majimaji. 

Vyanzo vingine ni matatizo kichwani kwenye tezi ya ‘pituitary au pituitary adenoma’.
Dawa nyingine zinazoamsha tatizo hili ni kama vile ‘Cimetidine’ ambazo hutibu vidonda vya tumbo. 
Pia zipo dawa nyingine za asili ambazo hazijafanyiwa utafiti wa kutosha zinazoweza kusababisha tatizo hili. 

Dalili za tatizo
Mwanamke mwenye tatizo hili la kutokwa na maziwa kwenye matiti wakati si mjamzito na wala hana historia ya kuwa na mimba, huwa hapati ujauzito.
Mwanaume mwenye tatizo hili hupungukiwa na nguvu za kiume, uzalishaji wa mbegu za kiume huwa mdogo. 

Kwa ujumla tatizo hili husababisha ugumba.
Kwa vijana na watoto wa kiume au wa kike ni vema uchunguzi wa kina ufanyike.
Maziwa yanaweza kutoka tu yenyewe au kwa kuminyaminya matiti au chuchu. 

Uchunguzi
Hufanyika hospitalini kwa madaktari wa masuala ya uzazi. Vipimo vya damu kuangalia homoni, matatizo katika matiti, na ikibidi CT-Scan vitafanyika kuangalia matatizo katika tezi ya Pituitary. 

Ushauri
Wahi hospitali kwani athari ya tatizo hili ni kupoteza uwezo wa kuzaa. 
Epuka kuchezea chuchu ziwe zako mwenyewe au za mpenzi wako au za mtoto kwani unaamsha homoni ambazo katika wakati huo hazitakiwi.

WASILIANA NASI KWA +255762285404 AU WHATSAPP +255713354389 KWA MAELEZO NA SULUHISHO JUU YA TATIZO HILI. WAHI MAPEMA KABLA UGONJWA HAUJAWA SUGU.

Jumatatu, 7 Julai 2014

JE UNAJUA MADHARA YA KUWA NA KITAMBI ?. BASI FAHAMU NA MBINU ZAKE ZA KUKIONDOA.


 
Operesheni ondosha vitambi kwa kina mama.
AKINAMAMA wengi siku izi ukikutana nao wanaonekana kama ni wajawazito, lakini si wajawazito, wana vitambi ama viriba tumbo kama wanaume, hii si hali ya kawaida, wengi wao hawajui kwanini wanakuwa na viriba tumbo hivyo na mbaya zaidi hawajui wafanyenini kuondokana na vitam

bi hivyo. Vitambi hivyo vina athari nyingi sana, za kiafya na kimaumbile.
Kiafya.


Kuendelea kuruhusu vitambi hivyo kukua pasipo kuchukua hatua sitahiki upelekea kupata matatizo mengi ya kiafya yakiwemo:-

· Mgandamano wa taka na sumu tumboni au Corprostasis
· Kukosa choo au Constipation.
· Kiharusi au Stroke
· Uzito uliozidi au Obesity.
· Matatizo ya moyo. Cardiovascular diseases
· Shinikizo la juu la damu au High blood pleasure
· Kisukari au Diabetes
· Saratani. Au cancer
· Kukakamaa kwa mishipa au arterioscelosis. Nk.


Haya ni baadhi tu ya magonjwa yanayoweza kumshambulia mtu iwapo hatachukua hatua kuakikisha anakuwa na mwili wenye afya kuwa kutorusu viriba tumbo. Hii ni kwa wanawake na wanaume pia, japo wengi wa wanaume wana fikra potofu kuwa kitambi ni afya au mafanikio Fulani, hiyo si kweli, bali ni matatizo.

Kimuonekano. 
Mwanamke anapokuwa na kitambi uwa anapoteza muonekano, avaapo nguo hapendezi kwa sababu tumbo ndio linatangulia, hii ni tofauti sana na tumbo la ujauzito, kwani lile uwa na kwa muda tu na uwa lina mavazi yake maalumu pia ambayo uwafanya baadhi yao kuonekana wanapendeza wanapokuwa atika hali hiyo.

Kiriba tumbo upoteza kabisa shape ama figure ya mtoto wa kike, matokeo yake ni kuwa hakuna nguo atakayovaa ikampendeza, hii imepelekea kinamama wengi kulazimika kuvaa madela tu kama wajawazito kwa kuwa hakuna nguo inayompendeza.


KAMPENI ONDOSHA KITAMBI.
Kampeni hii imekuja maalumu kwa ajili yako wewe mama ambaye unalazimika kuvaa madela muda wote kama mjamzito wakati huna mimba, weye ambaye upendi kuwa na kitambi na tena wakichukia lakini hujui ufanye nini, weye ambaye watamani kuwa na figure ipendezayo ambayo yavutia wengi.

Unahitaji kufata hatua nne muhimu za program hii ambazo ni rahisi sana kufikia kuwa na mwili au figure uipendayo na mwenye afya pia, kwani kwa kufata hatua hizo nne, utaondoa kiriba tumbo na kujikinga na maradhi yoote yaliyotajwa hapo juu na mengine mengi. Programu hii ya kuondosha kitambi ukiifuata sawasawa inakupa majibu ndani ya mwezi mmoja, ni salama na hakika.

Hatua hizo ni:
1. Kuondoa sumu mwilini.
Hii ni hatua muhimu sana kuelekea kwenye safari yako ya kuondosha kitambi. Ina safisha mfumo mzima wa mmengenyo wa chakula na kuondoa mgandamano wa taka tumboni. Kwa mfumo wetu wa chakula unapokuwa umefunga miili yetu hushindwa kufyonza virutubisho muhimu na kufanya sumu na taka kurundikana mwilini.


2. Kuchoma mafuta na kungarisha mwili.
Hii ni muhimu kwani ingawa miili yetu yahitaji mafuta kwa kutunza joto, mafuta hayo yanapozidi ni hatari na upelekea kuhatarisha mahisha, utagundua kuwa mafuta yachomwapo metabolism ya mwili nayo inaongezeka. 


3. Kusawazisha na kusafisha.
Hii usawazisha kiwango cha asidi na alkali miilini mwetu itokanayo na kula vyakula vyenye asidi nyingi na kupelekea kutokuwa na mlo kamili, pia yasafisha mfumo mzima wa damu na kongeza kiwango cha usambazi wa hewa ya oksijeni mwilini na zaidi ya yote kuuongezea mwili kinga ya kupambana na maradhi yoote.
4. Kurejesha – rejuvenation
Program hii yamalizia na kurejeza, kuuisha upya chembe hai za damu kwa kuupa mwili viondoa sumu,(anti oxidants) hii inafaida kubwa sana kwa mfumo wa damu na moyo pia, huongeza protein muhimu na hivyo kukufanya usizeeke upesi. (Anti aging properties).


"MAJIBU NDANI YAMWEZI MMOJA"Je wataka kuondosha kiriba tumbo?? call now +255-713-354-389 au +255-762-285-404