Jumapili, 22 Juni 2014
MAAMBUKIZI YA NJIA YA MKOJO (URINARY TRACT INFECTIONS -UTIs)
Neno U.T.I si geni masikioni mwa wengi, kwani ni wengi leo utawasikia “naumwa U.T.I”. Japo si wote hulitumia kisahihi. Wengine wana tatizo ambalo ni tofauti na U.T.I, lakini anaweza akaenda hata duka la dawa na kuomba apatiwe dawa za U.T.I. Leo nimeona tubadilishane elimu juu ya hili tatizo, angalau kila mmoja awe na uelewa U.T.I ni nini hasa, inasababisha na nini, na ni jinsi gani anaweza kujikinga.
U.T.Is, ni kifupisho cha Urinary Tract Infections, ambayo kwa lugha yetu ni maambukizi ya njia ya mkojo. Kama linavyojieleza, kwamba maambukizi ni lazima yawe ni kwenye njia ya mkojo ndipo tunaita ni U.T.I, na si pengine popote. Una uchafu unatoka ukeni, hiyo ni kitu kingine tofauti nk. Tunapozungumzia njia ya mkojo, ni kutoka eneo la nje hadi kwenye kibofu, na kutoka kwenye kibofu hadi kwenye figo.
Kama maambukizi yako eneo la kutoka kwenye kibofu hadi kwenye figo(ikihusisha na figo pia), inaitwa Lower Urinary Tract Infect. Na ikihusisha eneo la juu ya kibofu, inaitwa Upper Urinary Tract Infection.
Tatizo hili huwapata wote, wanaume na wanawake. Lakini huwapata zaidi wanawake kutokana na tofauti za kimaumbile. Hii ni kwa sababu kuu mbili, i)njia ya haja ndogo ya mwanamke iko jirani zaidi na njia ya haja kubwa ambapo vijidudu vingi visababishao U.T.I ndipo vinapoishi, ii) mrija wa mkojo (urethra) wa mwanamke ni mfupi ukilinganisha na wa mwanaume, hivyo kufanya iwe rahisi kwa maambukizi kufika kwenye kibofu kwa mwanamke kuliko kwa mwanaume.
Visababishi
Tatizo hili husababishwa kwa kiasi kikubwa na bacteria ambao makazi yao ya kawaida utumbo mpana, na hivyo huwa wanapatikana pia kwenye haja kubwa, mfano Escherichia coli na wengineo. Pia, linaweza likasababisha na ‘fungus’ na visababishi vingine, japo ni mara chache sana.
Vihatarishi na Njia ya Maambukizi
a)Kwa wanawake
• Kujamiiana –hii huweza kuamisha bacteria walio kwenye uume moja kwa moja, ama watokanao na maambukizi ya ukeni kuingia moja kwa moja njia ya mkojo
• Kuchezea ama kuchezewa na mikono michafu maeneo ya uke kunaweza kusababisha maambukizi
• Njia mbaya ya kujisafisha baada ya haja kubwa au ndogo inaweza kuhamisha bacteria walio ktk njia ya haja kubwa na kuingia njia ya mkojo
• Matumizi ya pedi za kike zenye kemikali ya kukata harufu ambao huua bacteria wa asili wa eneo la uke na kukaribisha bacteria wanaosababisha maradhi kuzaliana kwa wingi
Vifuatavyo pia vinaweza vikachangia
• Ujauzito –mara nyingi hushusha kinga ya mwili ya mjamzito
• Upungufu wa homon ya ya kike Oestrogen husababisha bacteria wasababishao U.T.I kuzaliana kirahisi
b)Kwa wanaume
• Matatizo ya tezi ya kiume(prostate) mabapo husababisha mrija wa mkojo kuziba, ama kutopitisha mkojo vizuri na kuruhusu bacteria kujenga makazi
• Kutotahiriwa, ambapo nyama ya mbele inaweza kuhifadhi bacteria wasababishao U.T.I
• Kujamiiana kinyume cha maumbile huingiza kirahisi bacteria walio njia ya haja kubwa kwenye njia ya mkojo
• Kujamiiana bila kinga na mwanamke ambaye ana maambukizi ukeni
• Kuwa na VVU ambapo hupunguza uwezo wa mwili kupambana na maambukizi
c)Kwa wote
• Kutokunywa maji na vinyaji kwa wingi –kunywa maji mengi husababisha mkojo kuzalishwa kwa wingi, na kukojoa mara kwa mara na hivyo kusafisha njia ya mkojo
• Kuwekewa mirija inayosaidia kutoa mkojo nje inaweza pia kukaribisha maambukizi
• Matatizo ya figo na mengine kwenye njia ya mkojo yanayoweza kuziba njia ya mkojo
• Kisukari ambapo hudhoosha kinga ya mwili na pia kuharibu mfumo wa figo wa uchujaji
Dalili za U.T.I
a) Kwa eneo la chini la njia ya mkojo
i. Hali ya kujisikia kutaka kukojoa muda wote
ii. Maumivu, au hali ya kujisikia kuchoma choma wakati wa kukojoa
iii. Kukojoa mara kwa mara na mara zote mkojo ni mdogo
iv. Mkojo unaweza kuonekana una ukungu, na mara nyingine unatoa harufu kali
v. Maumivu ya nyonga kwa wanawake
vi. Maumivu ya rektamu(rectum) kwa wanaume
vii. Na mara nyingine damu kwenye mkojo
b) Kwa eneo la juu la njia ya mkojo
i. Maumivu ya tumbo(hasa eneo la juu kwa pembeni –chini ya mbavu)
ii. Homa kali
iii. Kutetemeka na kujihisi baridi
iv. Kichefuchefu na /au kutapika
Vipimo na matibabu
Mara nyingi kipimo cha mkojo kinaweza kuonyesha tatizo.
Matibabu ni antibiotic baada ya daktari kubaini tatizo
Madhala yatokanayo na U.T.I isipopata tiba sahihi
• Inaweza ikasababisha maambukizi makubwa ya figo(pyenephritis) ambayo yanaweza kusababisha uharibifu wa kudumu wa figo na hivyo kutishia maisha
• Kwa wajawazito inaweza kuhatarisha maisha ya wote mama, na motto aliye tumboni
• Bakteria wanaweza kuingia mfumo wa damu na kusababisha ama kwenda kusababisha madhala mengine
• Inaweza kusababisha shinikizo la damu kuwa kubwa kwenye figo na hata kusababisha ufanyaji wa kazi mbovu wa figo
Tiba mbadala nyumbani kabla ya kumwona daktari
Unaweza kutibu, ama kupunguza tatizo nyumbani kabla ya kumwona daktari pale uonapo dalili ya awali ya U.T.I, ambayo ni maumivu na kuchomachoma wakaji wa kukojoa. Fanya yafuatayo
i. Kunywa maji mengi hasa saa 24 za kwanza baada ya kuona dalili. Hii itasaidia kuzalisha mkojo kwa wingi na kusafisha njia ya mkojo
ii. Kojoa mara kwa mara na hakikisha ni hadi mkojo unaisha ili kibofu kiwe tupu
iii. Kwa maumivu ya mlango wa mkojo, oga na kuosha kwa maji ya moto, kutapunguza maumivu
Njia za Kujikinga na U.T.I
Kunywa maji na vinywaji kwa wingi kila siku. Hii itakusaidia ukojoe mara kwa mara na kutoruhusu bacteria kujenga makazi kwenye njia ya mkojo
Kojoa kila ujisikiapo mkojo na usiubane kwa muda mrefu
Kwa wanawake
Nenda ukakojoe mara tu umalizapo tendo la kujamiiana. Hii itasaidia kutoruhusu bacteria kuingia na kujenga makazi kwenye njia ya mkojo.
Badili pedi mara kwa mara uwapo hedhini
Epuka kujisafisha ukeni na maji yarukayo kwa kasi, pia epuka kupilizia marashi ukeni, ama kutumia pedi zenye kemikali ya kukata harufu. Hizo huua bacteria wa asili wa ukeni hali ambayo hukaribisha bacteria wa maradhi kuzaliana kwa wingi
Ujisafishapo baada ya kujisaidia anzia mbele kwenda nyuma kuepusha kuhamisha bacteria walio eneo la haja kubwa kuingia njia ya mkojo
Kwa wale walio katika kipindi cha ukomo wa hedhi, wanaweza kushauliana na daktari juu ya kutumia oestrogen ya ukeni kuwasaidia kujikinga na maambukizi
Kwa wanaume
Kuhakikisha maeneo ya ncha ya uume ni masafi mara zote, hasa ikiwa hujatahiriwa kuepusha kujihifadhi na kuzaliana kwa vijidudu visababishao maradhi.
Kondom wakati wa kujamiiana nayo ni kinga nzuri
WASILIANA NASI KWA +255762285404 AU 0713354389 KWA USHAURI NA TIBA.
Jumapili, 8 Juni 2014
UJUE UGONJWA WA BAWASIRI (HEMORROHOIDS)
Bawasiri ni mojawapo ya matatizo ambayo mara nyingi inapotokea humfanya muathirika kuwa na aibu kuelezea au kwenda hospitali ili kupata tiba.Bawasiri husababishwa na kuvimba kwa mishipa ya damu aina ya vena katika eneo la mfereji wa haja kubwa.Ugonjwa huu huwapata saana wanaoendesha magari kwasababu hukaa kwa muda mrefu,wengi wao huwa hawautambui ugonjwa huu na hatimaye husema ni kinyama kimetokea sehem za siri lkn wengine huona aibua kwenda kwa madactari kutoa taarifa.Hapa huwa kama kinyama ambacho hutokea wakati mtu anaenda kujisadia haja kubwa.ingine kinyama huwa kinarudi na ingine huwa kinashindwa kurudi chenyewe.
KUNA AINA MBILI ZA BAWASIRI(HEMORRHOIDS)
1.Ya nje ya puru- Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa na mara nyingi huambatana na maumivu na muwasho katika sehemu hiyo.Mara nyingi mishipa hiyo ya damu(vena)hupasuka na damu huganda na kusababisha hali iitwayo THROMBOSED HEMORRHOIDS kitaalamu.
2.Ndani ya puru/tupu/duburi-Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa na haiambatani na maumivu hivyo kuwafanya wengi kutotambua kuwa wana tatizo hili.
KINASABABISHA BAWASIRI ?
Miongoni mwa visababishi vya bawasir ni;
1.Tatizo sugu la kuharisha
2.Kupata haja kubwa(kinyesi)kigumu
3.Ujauzito
4.Uzito kupita kiasi(OBERSITY)
5.Ngono ya njia ya haja kubwa(ANAL SEX)
6.Umri mkubwa na mambo yanayoongeza shinikizo katika tumbo.
7.Kukaa sehem moja kwa muda mrefu
DALILI ZA BAWASIR
1.Kinyesi kuchanganyika na damu wakati wa kujisaidia CHEMATOZECHEZIA
2.Maumivu au usumbufu katika njia ya haja kubwa
3.Kutokwa na kinyesi bila kujitambua(kuvuja kinyesi)
4.Kijiuvimbe katika eneo la tundu(mlango)wa kutolea haja kubwa.
5.Ngozi katika eneo la tundu la haja kubwa kuwasha.
6.Bawasir kutoka wakati wa kujisaidia haja kubwa.
ATHARI ZA BAWASIR
1.Upungufu wa damu mwilini(ANEMIA)
2.STRAGULATED HEMORRHOID
3.Kinyesi kutoka na kuvuja bila kujitambua na kusababisha kunuka kinyesi saa zote.
4.Kukupunguzia morali ya kufanya kazi kutokana na maumivu hasa watu wanaokaa muda mrefu maofisini.
5.Kuathirika kisaikolojia
6.Kukosa hamu ya tendo la ndoa.
7.Kupungukiwa nguvu za kiume
JINSI YA KUZUIA BAWASIR
1.Kula mboga za majani na matunda na nafaka zisizokobolewa kwa wingi,kwenye matunda hakikisha unakula na fibres yani kama chungwa kula hadi zile nyama za ndani.
2.Kunywa maji mengi lita sita hadi kumi na mbili kwa siku
3.Punguza kukaa kwa muda mrefu sana ukiwa chooni(unaweza kuongeza shinikizo katika mfereji wa haja kubwa)
Bawasiri sasa imepata suluhisho na inapona.Kwa ushauri wowote wa afya au swali au tatizo lolote la kiafya waweza tumia +255762285404 au 0713354389.
NJIA ZA KUPATA MTOTO WA KIUME AU WA KIKE
Watu wengi wamekuwa wakiwabebesha mzigo wanawake juu ya kupata mtoto wa kike au wa kiume na wengine kufikia kuwaacha wake zao eti kwaajili anazaa jinsia moja wakifikiri kuwa swala la kuzaa aina fulani ya mtoto ni lamwanamke peke yake wakati sio kweli mwanaume pia anachangia,sasa leo ningependa tujifunze jinsi ya kuchagua jinsia japo kuwa tunaamini kuwa Mungu pia anachangia ktk hili lkn kama tukifuata utaratibu pia inaweza kutusaidia sana.Mwanaume anamwaga shahawa au spamu kati ya milion 200 hadi 400,ambapo ndani yake kuna chromozomu X na Y.Kila yai la mwanamke lina chromozomu mbili za X. wakati manii ya mwanamume au spemu (yana chromozomu X na Y) kama chromozomu X ya mwanaume itarutubisha yai la mwanamke lenye X tupu, basi mtoto atakayezaliwa atakuwa mwanamke.na endapo chromozomu Y ya mwanaume itarutubisha yai X la mwanamke atazaliwa mtoto wa kiume.Kwa kuwa chromozomu X ya mwanaume inaishi muda mrefu kuliko Y ukitaka kuzaa mtoto wa kike basi ujamiiane siku 2 au 3 kabla ya ovulation(hii itakuwa kama siku ya 4 au 5 kabla kuingia hedhi),lkn pia inashauriwa wanandoa wanapojamiiana basi mwanamke awe chini mwanaume juu kurahisisha spamu X kutunga mimba kwa urahisi,lakin pia njia ya kupata mtoto wa kiume ni kujamiiana masaa 12 baada ya ovulation.
Lakini sasa hivi kumekuwa na tatizo kubwa la watu kukosa kushika mimba wengine tangu alipoza zaa mtoto mmoja ndo basi na wengine hajapata kabisa hali hii imekuwa ikiongezeka kila siku kutokana na maisha tunayoishi,mazingira yetu na baadhi ya magonjwa ya uzazi,japo kuwa inawezekana kabisa tatizo hilo kuondoka na mtu akapata mtoto hata kama alikuwa amekata tamaa.
Kwa ushauri na suluhisho kuhusu tatizo lolote la kiafya tumia 0713354389 AU +255762285404

TATIZO LA KUKOSA CHOO NA MADHARA YAKE
Mtu yeyote anayepata walu mlo mmoja kwa siku na kupitisha kati ya siku moja au tatu bila kupata choo, anatatizo la kukosa choo (Constipation), pia kupata choo kigumu na maumivu makali ama kufikia kutoa choo kama mbuzi wakati mwingine kikiwa na matone ya damu ni dalili za tatizo hili la kukosa choo."Tafiti zinaonesha kuwa mtu anaweza kupoteza maisha iwapo atakosa choo siku tano mpaka saba mfululizo"
Sababu za kukosa choo ziko nyingi ikiwa ni pamoja na:-
•Kukosa mlo kamili ama kula vyakula viingi vyenye kiwango kikubwa cha wanga na mafuta,
•Kula vyakula vilivyokobolewa na vilivyo changanywa na madawa ili visiharibike,
•mifumo hatarishi ya maisha (Dangeraous Lifestyles) kama vile matumizi ya pombe na sigara kwa wingi,
•Ukosefu wa kiwango cha kutosha cha mbogamboga na matunda katika milo yetu,
•Maji yasiyo salama,•Kuvuta hewa chafu,n.k
Hizi ni baadhi tu, na hadhari zake zaweza kuwa:-
•Chakula kutomeng'enywa vizuri (poor function of digestion system)
•Maumivi makali wakati wa kupata choo,
•Uchafu uliokaa muda mrefu kugeuka sumu,
•Bakteria wenye madhara kuzaliwa na kuathiri utumbo mpana na viungo vingine mwilini.Hii yaweza sababisha magonjwa sugu kama: •Saratani ya utumbo mpana (Colon Cancer)
•Presha (Arteriosclerisis)
•Kuongezeka uzito (Obesity)
•Tumbo kujaa gesi
•Magonjwa ya Ini
•Figo kushindwa kufanya kazi vizuri,
•Magonjwa ya ngozi,
•Kukakamaa kwa mishipa ya damu,
•Kisukari,
•Magonjwa ya moyo n.k

WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA +255762285404 AU 0713354389 KWA SULUHISHO NA USHAURI JUU YA TATIZO HILI.
Jumatatu, 2 Juni 2014
NINI MAANA YA MAJIPU, DALILI ZAKE NA AINA YA MAJIPU PIA.
Majipu mara nyingi husababishwa na maambukizi ya bakteria, kawaida staph (Staphylococcus aureus). Hadi asilimia 80 ya watu kuwa na bakteria staph juu ya ngozi zao au katika pua wakati fulani katika maisha yao. Wengi wa wakati hakuna dalili ya majipu. Hii inaitwa ukoloni. Kuhusu 1 asilimia ya watu kuwa na aina maalum ya staph aureus aitwaye methicillin sugu staph (au MRSA kwa muda mfupi), ambayo ni sugu kwa baadhi ya antibiotics matibabu majipu na inaweza kuwa vigumu kutibu.
pus Kisha ni kusanyiko katika mapema ya. Polepole humkunjulia na inaweza kufikia ukubwa wa mpira wa gofu. Hukua kubwa na anapata chungu zaidi, wakati mwingine kufikia golf ball kawaida. Basi inakuwa ya rangi ya njano-nyeupe, ambayo bursts mwisho na machafu. Kawaida inachukua wiki mbili kwa ajili ya jipu kutoweka au hadi mwezi mmoja katika kesi nadra. Wakati majipu ni kidogo, hawana kuondoka makovu juu ya ngozi. Lakini kubwa majipu wanaweza kuondoka nao.
Eneo la majipu wanaweza kuwa katika sehemu yoyote ya mwili, lakini eneo zaidi ya mara kwa mara ni juu ya uso, kwapani, shingoni matako, na mapaja - maeneo na follicles nywele ambayo wanakabiliwa na jasho au kutokana na msuguano.
Majipu kuangalia kama matuta ambayo ni inflamed na kuleta maumivu . Majipu ni zilionyesha na acne cystic. Kama sisi kulinganisha na cysts Acne, majipu ni redder, kuvimba ni kubwa na huleta maumivu zaidi.
zumaridi A mara kwa mara inaonekana juu ya mabega mapaja, na nyuma ya shingo kama kundi la majipu. Unaathiri ngozi kuwaambukiza zaidi juu ya kiwango cha kushangaza zaidi kuliko majipu tofauti kufanya. Ya mienendo ya maendeleo ya carbuncles ni polepole, ni vigumu kuponya na kuacha kovu juu ya ngozi. Saa carbuncles mara ni kushikamana na hali ya uchovu na homa.
Maeneo ambayo majipu kiujumla kuonekana ni usoni, shingoni, kwapani, matakoni, sehemu za siri na mapajani.
WASILIANA NASI KWA +255762285404 AU +255713354389 KWA MAELEZO ZAIDI NA TIBA.
Aina ya majipu
Kuhusu aina mbalimbali ya majipu mtu anaweza kutofautisha zifuatazo ndio:- Furuncle au baharamani Aina hii ya majipu ni jipu ngozi kwamba alionekana kutokana na Staphylococcus aureus bakteria. Fursa ya furuncle juu ya ngozi inaweza kuwa na uhusiano na baridi. Zumaridi mara kwa mara ni seti ya follicles nywele ambayo fomu ni absess. Wakati mtu majipu sugu, yeye anaugua carbunculosis au furunculosis.
- Acne cystic: Aina hii ya majipu hutokea baada ya clogging na maambukizi ya ducts mafuta. Acne cystic ina athari katika ngozi kushangaza tishu zaidi kwa kulinganisha na mara kwa mara acne , ambayo huathiri ngozi ya juu juu ngazi zaidi. Aina hii ya acne hutokea kwenye uso. Ujumla vijana wanakabiliwa na yake.
- Hidradenitis suppurativa: Wakati abscesses wengi wamekusanyika katika maeneo ya kinena, na chini ya armpits, hii inaitwa Hidradenitis suppurativa. Hali hii ni maendeleo katika maeneo ambapo tezi jasho ziko. Wao ni na inflamed na kusababisha hali hii. Safu ya matibabu pamoja na si antibiotics tu, bali pia utaratibu wa upasuaji, ambao unaweka mbali ya jasho tezi wanaohusika na kuzuia kuvimba zaidi.
- cyst Pilonidal: aina hii ya majipu iko katika Groove kati ya makalio. Pilonidal jipu mara nyingi huanza kama maeneo ya kuambukizwa ndogo ambayo ni alikasirishwa na shinikizo kupindukia na ni inflamed sababu ya hiyo. Basi eneo anapata kubwa na anarudi katika nodule imara, kuuma kwamba si vizuri kukaa. Wakati na kukaa kwa muda mrefu wakati wa safari baadhi, kwa mfano, nafasi hii na shinikizo tokoni ya sababu ya kuambukizwa.
Dalili za majipu
Dalili za majipu ni rahisi, ni kuchemsha kama utawala hutokea kwa ghafla kama bonge la rangi nyekundu ambayo husababisha maumivu katika 1-2 cm kufikia kipenyo. Ngozi karibu yake pia inaweza nyekundu au kuvimba.pus Kisha ni kusanyiko katika mapema ya. Polepole humkunjulia na inaweza kufikia ukubwa wa mpira wa gofu. Hukua kubwa na anapata chungu zaidi, wakati mwingine kufikia golf ball kawaida. Basi inakuwa ya rangi ya njano-nyeupe, ambayo bursts mwisho na machafu. Kawaida inachukua wiki mbili kwa ajili ya jipu kutoweka au hadi mwezi mmoja katika kesi nadra. Wakati majipu ni kidogo, hawana kuondoka makovu juu ya ngozi. Lakini kubwa majipu wanaweza kuondoka nao.
Eneo la majipu wanaweza kuwa katika sehemu yoyote ya mwili, lakini eneo zaidi ya mara kwa mara ni juu ya uso, kwapani, shingoni matako, na mapaja - maeneo na follicles nywele ambayo wanakabiliwa na jasho au kutokana na msuguano.
Majipu kuangalia kama matuta ambayo ni inflamed na kuleta maumivu . Majipu ni zilionyesha na acne cystic. Kama sisi kulinganisha na cysts Acne, majipu ni redder, kuvimba ni kubwa na huleta maumivu zaidi.
zumaridi A mara kwa mara inaonekana juu ya mabega mapaja, na nyuma ya shingo kama kundi la majipu. Unaathiri ngozi kuwaambukiza zaidi juu ya kiwango cha kushangaza zaidi kuliko majipu tofauti kufanya. Ya mienendo ya maendeleo ya carbuncles ni polepole, ni vigumu kuponya na kuacha kovu juu ya ngozi. Saa carbuncles mara ni kushikamana na hali ya uchovu na homa.
Maeneo ambayo majipu kiujumla kuonekana ni usoni, shingoni, kwapani, matakoni, sehemu za siri na mapajani.
WASILIANA NASI KWA +255762285404 AU +255713354389 KWA MAELEZO ZAIDI NA TIBA.
Jumatatu, 7 Aprili 2014
Njia 5 za kupunguza tumbo kirahisi
WADADA au WAMAWAKE wengi wanatamani kuwa na matumbo madogo, lakini wengi hushindwa kufikia ndoto hiyo kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo za uzazi na kupenda chakula. Makala hii inaangalia njia rahisi ya kupunguza tumbo.
1. Uangalifu katika kula
Epuka chakula chenye wanga, mafuta mengi na sukari. Badala yake unaweza kula matunda na mboga za majani. Vile vile samaki wa baharini si wabaya kwani hawana mafuta mengi.
2. Namna ya kula
Usiache kula kwani jambo hilo litakunyima nguvu, unatakiwa kula milo mitatu mpaka minne lakini kwa kiasi kidogo. Unatakiwa kukaa zaidi ya saa tatu kabla ya kula mlo mwingine.
3. Mazoezi ya kawaida
Si lazima ufanye mazoezi makali kwa ajili ya kupunguza tumbo. Unaweza kufanya zoezi la kutembea badala ya kupanda basi, kama hufiki mbali sana. Kama unaweza kuogelea, unaweza kufanya hivyo mara kwa mara, hiyo pia itakusaidia.
4. Zoezi maalum
Kama unaweza kufanya zoezi la kulala chali na kukaa, 'abs exercise' unaweza kufanya kwa dakika chache kila siku. Hiyo itasaidia kukomaza misuli ya tumbo hivyo tumbo kutokulegea.
5. Kunywa maji
Maji yanasaidia mmeng'enyo wa chakula, hilo husaidia mtu kuwa na afya njema. Kwa kuwa mtu akiwa katika hatua za awali za kupunguza tumbo husikia njaa mara kwa mara, ni bora anywe maji badala ya kula.
WASILIANA NASI KWA +255762285404 AU +255713354389 KWA MAELEZO ZAIDI.

Osteoporosis:Mifupa milaini, myepesi na kusagika
Tatizo hili hujulikana kwa jina la kitaalamu kama Osteoporosis. Ugonjwa huu unatokana na kupunguka kwa protini na madini kwenye mifupa (madini chokaa/calcium). Hali hii hupelekea mifupa kuwa milaini na myepesi ambapo inaweza kuvunjika kirahisi. Kipindi cha utoto hadi kufikia umri wa miaka 30, ni kipindi ambacho mifupa hujijenga zaidi. Baada ya hapo mifupa huwa ina kawaida ya kupoteza madini zaidi.
Tatizo hili linatokea sana kwa watu wazima, hasa zaidi kwaa wanawake ambao wamefikia kipindi cha kukoma hedhi (menopause), kuanzia miaka 50. Ni kipindi ambacho wanawake hupungukiwa na homoni yenye kazi ya kuilinda na kuikinga mifupa. Tatizo hili huwapata wanawake zaidi kwa kuwa wana mifupa midogo na myembamba kuliko wanaume. Miaka mitano (5) hadi aba (7) tangu mwanamke kukoma hedhi hupungukiwa na madini chokaa kwa asilimia ishirini (20%), zaidi ya wanaume. Kuanzia miaka 65 hadi 70 wanawake na wanaume hupoteza madini chokaa kwaasilimia sambamba.
Nini cha kufanya
- Mazoezi hasa kipindi ambacho umriu mepiga hatua
- Kwa wale wenye uzito uliozidi, jitahidini kufanya utaratibu wa kupunguza
- Jitahidi kupata madini chokaa (calcium) kwa wingi (maziwa freshi, maziwa mgando, mboga za majani)
- Jitahidi kupata Vitamini D (mayai, maziwa, samaki, mboga za majani, pata jua)
Virutubishi
Kwa ambao tatizo limekuwa kubwa, inawapasa kujitahidi kupata virutubishi ili kuirejeshea mifupa nguvu na uimara, pia kuondokana na maumivu.
Virutubishi vifuatavyo vimewasaidia wengi wenye tatizo hili.
WASILIANA NASI KWA +255762285404 AU +255713354389 KWA MAELEZO ZAIDI.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)